Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haina noma sema ulipotea uzi huu ukapoa kishenzi

A
Kuna muda nilikuwa napost naona win halafu sipati mrejesho so nikahisi wadau itakuwa hawafatilii nika mute hata jana. Niliona hakuna respond.
Ila kuna channel 1 niliona wanaisifia snaa kuingia nakuta pigo za odds 1.45 mara 1.6 ikziid sanaa 1.8
Khaa nikasema hizi odds me nazifumua kwenye team 8 huku team 1 mtu anapewa maua?? Ndo nikaamua nije na hiyo plan ya roll ova.
 
😂😂kaka nakufatilia sana mzee,we shusha nondo,watu wanaona japo wanajifanya Hawatoi reaction ila wanakufuatilia Chin kwa chini
 
Mniwie radhi wakuu nilipitiwa na usingizi mzito sana ndio naamka sasa hivi, natumai tunaweza tukaendelea tulipoishia.

Hilo wazo limekaa vyema sana nadhani tuanzie hapa tulipoanzia ila tuweke muda maalum ili Odds zitakapowekwa kila mdau awe aware, kwa upande wangu kuingia JF natumia Google Chrome na sipati notifications kama kukiwa na msg mpya sijui kwa wenzangu au wale wanaotumia app ya JF mnapataje notifications kama msg mpya ikiingia, ili kuweza kujua kama kuna Odds zimetupiwa kwenye Thread husika.
 
Weke kitufe cha notificatuon on. Au angalia kwenye kikengele juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…