Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS : 2

CODE: 5BW0L1

View attachment 3672399

Mapeeeema tuu

BOOOOOM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ”₯
 
Pita humu

SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS: 2

CODE: 5D80C4

Tuonane Usiku

View attachment 3672404

Shereemaya upoooo

Nyingine hiyooo

BOOOOOM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Nimeona mjadala kuhusu odd mbili, kimsingi kwenye kubeti hakuna odd za uhakika au za kutokupoteza ndio sababu unashangaa option ina odd 1.1 na bado inachana, kwa mfano mechi ya leo ya Mancity kipindi cha kwanza wameenda corner moja tu si maajabu haya. Ila kuna option ambazo zinapunguza uwezekano wa kupoteza(zinaminimize risk) kwenye betting hatuna option ya 100% risk free.
 
Bet lost.....mkeka wako umechanika.
 
Bet lost 10000 yangu imeenda na maji maana mkeka umechanika.
 

Kuna ZUZU mmoja kaja na mbwembwe za KISHAMBAAAA,si unajua New Comer

Yaani anaona ODDS 2 Rahisi

Sasa akaja na mkwala watu wakajua ni ZAMWAMWA wakamtia Chaka,akaweka ODDS mbili ma CODE na mbwembwe zake

Mkeka umechanika kama CHUPI ya Karatasi

Halafu akawa ana BanaPUA eti mie thiwedhi kushangilia ODDS 2

Sure Broo, hakuna Sure ODDS Wala Odds Rahisi sana but kun less risking options

PAMOJA mdau
 
Bet lost 10000 yangu imeenda na maji maana mkeka umechanika.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pole mdau

Ulimfuata yule ZUZU?

Mle hamna kitu Box tupu

Kaja na mbwembwe za KISHAMBAAAA na kizamaniiiiiiiiiii

Kujifanya anajua options nyingi kuliko wote humu,watu tunamuangalia tu maana mtu kichwani akiwa ZAMWAMWA wewe mtizame tu anajambaee kisha atakunya

Psychologically,ukifuatilia utaona tu ni Mshamba flan kapotea njia,hakuna options ambazo wote humu hatuzijui ila Mtu mwenye Mental health problem inabidi umpokee alivyokuja

Pole mdau kwa kuingizwa CHAKA
 
Aiseeh! Skupata muda kusoma reply za mwanzo, ngoja nirudi nyuma nione shida iko wapi, maana kuna hekaheka sjazielewa
 
Hata wewe una mbwembwe kama yeye
Mimi ndiye niliyeanzisha huo mjadala akaurukia na nyie mkamvamia
Nimeboom mapema odds 2 bila kelele na siwez shangilia sana
ila wewe umeboom tu unapita kila chocho na vuvuzela
 

BOOOOOOOM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

1 MILLION WONβœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

πŸ“ŒBado Hujajisajili Betjam? Jisajili Hapa πŸ‘‡

https://bjam.to/bet255

https://bjam.to/bet255

πŸ“ŒPromo Code Jaza πŸ‘‰ BET255

πŸ“Œ Pata Bonus Ya Mpaka 250k Ukijisajili Betjam Kwa Kutumia Promo CodeπŸ‘‰ BET255

πŸ“² Download AppπŸ‘‰: https://bjam.to/bet255apk
 

BOOOOOOOM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

1.2 MILLION WONβœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

πŸ“ŒJisajili Betjam HapaπŸ‘‡

https://bjam.to/bet255

https://bjam.to/bet255

πŸ“ŒPromo CodeπŸ‘‰ BET255

πŸ“Œ Pata Bonus Ya Mpaka 250k Ukijisajili Betjam Kwa Kutumia Promo CodeπŸ‘‰ BET255

πŸ“² Betjam App πŸ‘‰: https://bjam.to/bet255apk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…