Odds 2 kama una muendelezo mzuri wa ushindiKucheza odds mbili ni ukichaa, hao ni wageni wa kamari.
Nje ya mada, hii mechi ya Brighton na Assnali tunaibetiaje au tuiruke maana naitoa na kuirudisha kwenye mkeka kama mwenda wazimu
Izi odds za GG mbona kama za bure ?
Endelea kujidanganya, hamna option rahisi.!!WawekezJi wa odds 2 njia rahisi ya kuzipata ni kws hizo opt msivunjike moyo.
Ukiwa na team 2 au 3 tayari umefunga odds 2
Kwa sportbet njia rahisi ya kupata odds 2 hadi 3 ni
No 3 goal in row
Assist 1+
Mechi 3 tayari odds 2
βKama una muendelezo mzuriβ β¦.Odds 2 kama una muendelezo mzuri wa ushindi
Unapiga roll ova.
Mf umeanza na stake elfu 10000.
2Γ2Γ2Γ2Γ2Γ2Γ2
Week una 1.2M
Njia ya kupiga kamari n easy sana.
Wewe mgeni humu.Endelea kujidanganya, hamna option rahisi.!!
Kustake kwenye odds mbili kwenye mchezo wa kubahatisha ni ukichaa. Bet for Fun bet kistaarabu.
Tafuta odds mlima weka pesa kichuguu subiri bahati yako. Mchezo wa Kamari sio sehemu ya kuwekeza pesa π
Kila mtu na ajue tuendelee kuwa salama ππΌ
Unaniruhusu nikupe odds 2.5 roll ova ya week?βKama una muendelezo mzuriβ β¦.
Ingekua ivo kila mkamaria angekua tajiri saiv. Jaribu mwenyewe utuletee mrejesho.
Kanji alivokua na roho mbaya anasubiri unafika siku ya saba anazichota zote tena muda huo unamsubiri Bayern pekee ashinde dhidi ya Hamburger SV af Bayern anakufa moja bila π€£π€£
Mimi sio mgeni humu, roll mwenyeweUnaniruhusu nikupe odds 2.5 roll ova ya week?
Ukichana na replace hela yako
Acha ubabaishaji mkuu.Unaniruhusu nikupe odds 2.5 roll ova ya week?
Ukichana na replace hela yako
WApi alisema?Acha ubabaishaji mkuu.
Kuna jamaa alishasema atayeweza kutoa odd2 Kwa siku 7 atampa 450,000
Ila mpaka hapa hakuna aliyeweza.
Kikubwa ambacho hata mimi naweza ni kwamba siku mbili au tatu naweza kushinda odds2 ila siku 7 mfululizo hautaboi
Hii naruka nayo mkuuu.. Jana nimechelewaWaleeee wa
CORNERS CORNERS CORNERS Onlyyyy
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET
ODDS : 6
CODE: 6HZMGH
View attachment 3673790
Hii naruka nayo mkuuu.. Jana nimechelewa
πππββ