Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kucheza wakati mmoja ni suala jingine ..Suala ni Matukio (Events) under successful events haiangaliwi utofauti wa muda wa kucheza .. sababu zinaenda kwa mfuatano ambao sio additional wa moja mbili (arithmetic sequence) hii unaenda progressive kwa mzidisho ..oyaa .. ndio maana Kila unapoongeza timu sio wajinga wanakuongeza asilimia za bonuses... Hii ni Logarithmic coding hatari sanaaaaaa kakaa... Tucheze tu... . Tuliosoma haya mambo tunacheza kwa sababu ni michezo halisi ila wale wanacheza virtual/vindege ...naonaga ndio hawana akili kuliko sisi .. angalau sisi.Hizi ni kwamba hazichezi kwa wakati mmoja japo ni risk
Maamuzi magumu hayataki ushauri,,kabla game hazijaanza unaona kabisaaa ni pesa hii,,zikianza hapo ndio kasheshe matokeo ya kushangazaView attachment 3694503
Hizi Odds 2 vipi wadau zinatoa au matapeli...?
View attachment 3694503
Hizi Odds 2 vipi wadau zinatoa au matapeli...?
Kadiri unavyoongeza timu ndio Muhindi anafurahi...Unakuta hilo treni muhuni mmoja au wawili wanachana dakika ya kwanza tu.Kucheza wakati mmoja ni suala jingine ..Suala ni Matukio (Events) under successful events haiangaliwi utofauti wa muda wa kucheza .. sababu zinaenda kwa mfuatano ambao sio additional wa moja mbili (arithmetic sequence) hii unaenda progressive kwa mzidisho ..oyaa .. ndio maana Kila unapoongeza timu sio wajinga wanakuongeza asilimia za bonuses... Hii ni Logarithmic coding hatari sanaaaaaa kakaa... Tucheze tu... . Tuliosoma haya mambo tunacheza kwa sababu ni michezo halisi ila wale wanacheza virtual/vindege ...naonaga ndio hawana akili kuliko sisi .. angalau sisi.
MNISAMEHE ANDIKO REFU
MLISOME TU.
N.B BET WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE.
Hapo nilikuwa nachagiza wawekezaji wenzangu mkuu. Hiyo nimesharuka nayo mbona muda tu mzee baba.Mbona mie siku zote najua unaelewa maana ya KAMARI kumbe bado sana mdau?
Aiseeee
Hii mbinu niliitumia 3 day ago nikiwa na mtaji wa 130k niliweza kupata faida ya 445k ndani ya siku mbili so nikaongeza stake kwa 175k ikaenda kama upepo nikaweka 65k nayo ikaliwa nikapoa siku hiyo other day nikaweka 100k nayo ikasepa nikampumzikaKucheza wakati mmoja ni suala jingine ..Suala ni Matukio (Events) under successful events haiangaliwi utofauti wa muda wa kucheza .. sababu zinaenda kwa mfuatano ambao sio additional wa moja mbili (arithmetic sequence) hii unaenda progressive kwa mzidisho ..oyaa .. ndio maana Kila unapoongeza timu sio wajinga wanakuongeza asilimia za bonuses... Hii ni Logarithmic coding hatari sanaaaaaa kakaa... Tucheze tu... . Tuliosoma haya mambo tunacheza kwa sababu ni michezo halisi ila wale wanacheza virtual/vindege ...naonaga ndio hawana akili kuliko sisi .. angalau sisi.
MNISAMEHE ANDIKO REFU
MLISOME TU.
N.B BET WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE.
Hii mbinu niliitumia 3 day ago nikiwa na mtaji wa 130k niliweza kupata faida ya 445k ndani ya siku mbili so nikaongeza stake kwa 175k ikaenda kama upepo nikaweka 65k nayo ikaliwa nikapoa siku hiyo other day nikaweka 100k nayo ikasepa nikampumzika
Kuna muda kanji anapuna Hadi bonus account inabakia 0 hapo inabidi umuone wakala tuRemember ela ya kubet inatakiwa itoke kwenye kubeti
Kaka ...katika watu sensitive katika hili ni mimi .. moja ..nikupe hesabu hii ... Unaona odds unazopewa ... Chukua odds igawe kwa moja .. yaani kama odds ni 1.68 ... Fanya hivi 1/Kadiri unavyoongeza timu ndio Muhindi anafurahi...Unakuta hilo treni muhuni mmoja au wawili wanachana dakika ya kwanza tu.
Tatizo hujui ni yupi
Hapa unatakiwa kuangalia external factors 1)uhitaji wa mechi 2)upinzani 3)Historia ya matokeo angalau matatu nyuma na kuona nani anahitaji la ushindi kuplease mashabiki..tusibeti tu Wana .. mi Kuna Beti nazicheza za vichwa vigumu .. napigwa na napiga ..ila nikimtuma humu... Hawa matokeo mapya watanishambulia sanaaaaaa...Hii mbinu niliitumia 3 day ago nikiwa na mtaji wa 130k niliweza kupata faida ya 445k ndani ya siku mbili so nikaongeza stake kwa 175k ikaenda kama upepo nikaweka 65k nayo ikaliwa nikapoa siku hiyo other day nikaweka 100k nayo ikasepa nikampumzika
Kuna muda kanji anapuna Hadi bonus account inabakia 0 hapo inabidi umuone wakala tu
Mkuu Ukipata odds 10 tuwekee tukuze mitajiHaha ni kweli but, usiende kwa wakala na ela zaidi ya elf 10,
Tafuta odds kumi weka elf tatu then upate elf 30, kuanzia hapo sasa ndio uanze safari ya ela nyingi
Hapo nilikuwa nachagiza wawekezaji wenzangu mkuu. Hiyo nimesharuka nayo mbona muda tu mzee baba.
Haha ni kweli but, usiende kwa wakala na ela zaidi ya elf 10,
Tafuta odds kumi weka elf tatu then upate elf 30, kuanzia hapo sasa ndio uanze safari ya ela nyingi
Mkuu Ukipata odds 10 tuwekee tukuze mitaji
Ila betting inaumiza kichwa sana... natumia akili yangu 💯 still uppercut za kutosha.Bado
Lisaa limojaaaaaaa
Tuanze kubadilishana options kama sio sie,na mawaidha meengi