Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona kwenye sportbet wameweka kama ugenini?

CAF imefungia viwanja vingi ambavyo havina ubora. Kwahiyo team kama haina kiwanja bora bas itachagua kiwanja kimoja bora miongoni mwa viwanja ambavyo viko kwenye List ya CAF.

Sasa ikatokea wapinzan wa Yanga na Simba wote wakaamua kuj kucheza mechi zote TZ.

So mechi ya kwanza team ya nje inakuwa mwenyej (ndio maana walikuwa na haki ya kukataa mashabiki) na mechi ya pili ndio Simba inakuwa mwenyeji.

Yanga anacheza pia leo saa 1 usiku. Na ndio atakuwa mwenyeji.
 
BETWAY
WAZEE WA KUCHAMBUA
OODDS
800

BW7BCE1310

893 ODDS...

LET'S GO 🥳🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…