Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kampuni Gani nyingine inakubali 0 10 minutes draw tofauti na sportbet.
Nina namba ya halotel tu sportbet hawakubali
 
Kampuni Gani nyingine inakubali 0 10 minutes draw tofauti na sportbet.
Nina namba ya halotel tu sportbet hawakubali
Halotel inakubali betpawa tho kwa hiyo option ya 10minuts draw haipo
 
Tusaidie mstari upi wa biblie umekazia ulichokazia

Angalia, Isaya 65:11 , Pia

1 Timotheo 6:9-10, inayonya kuhusu tamaa ya kutajirika na kupenda fedha.

Pia Waebrania 13:5 inasema tusipende fedha, na 1 Wakorintho 10:23 inatufundisha kwamba si kila kitu kinachowezekana kinafaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…