Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We fala tia pesa . Au utaki kula vitumbua vya hapo nje ya msikiti

6KBPXG

wewe ndiye wale waliokwisha kupigwa mihuri . Utakufa kwenye beti kama yule aliyegongwa na jisalaba kanisani.
 
Angalia, Isaya 65:11 , Pia

1 Timotheo 6:9-10, inayonya kuhusu tamaa ya kutajirika na kupenda fedha.

Pia Waebrania 13:5 inasema tusipende fedha, na 1 Wakorintho 10:23 inatufundisha kwamba si kila kitu kinachowezekana kinafaa.
Hilo andiko la timotheo linawahusu wanaotafuta mali kwa kuua kama majambazi wanaotafuta mali freemason wanaotafuta mali kwa ulaghai yani njia yoyote unayotafuta pesa sio kihalali hilo andiko ndiyo linakataza upo hapo,ila ubashiri ni game of chance anapatia ndiyo mshindi

Somo la pili ni kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu
 
Angalia, Isaya 65:11 , Pia

1 Timotheo 6:9-10, inayonya kuhusu tamaa ya kutajirika na kupenda fedha.

Pia Waebrania 13:5 inasema tusipende fedha, na 1 Wakorintho 10:23 inatufundisha kwamba si kila kitu kinachowezekana kinafaa.

Usijitie pamba masikioni , Hivi Yesu au mtume yupi akicheza kamari ??

soma Isaya 65:11. Mungu anakemea watu waliomwacha na kujihusisha na desturi za kutafuta bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…