itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
Kadri unavoongeza mechi kwenye jamvi lako ndio risk inaongezeka pia 🤣🤣Hakuna cha AI kipindi cha nyuma nilikua nawin sana ila nilikua nikiweka game moja au mbili tu katika slip yangu ila sasa nilipoanza kuweka multi bet nyingi ndo kasheshe lilipo anzia
Hii game nilicheza option ya shots on targethii game ya Chelsea kama umeomba magoli inabidi uvae njumu ujiandae kuingia
Nasema HIVIIII Slavia Prague nipo na ninyi ....bado wakala wapo wazi...Wamezingua mno alafu odd ndogo mno
Ukipewa wewe hizo pasi utawezayan hawa Chelsea ata kuunganisha pasi tatu hawawezi
Ukipewa wewe unaweza?Hawa wachezaji wa dortmund wachunguzwe huenda wanaingia uwanjani na mikeka kwenye cm
kanji kakuvuruga au vipi, mimi ni mchezaji? wale ile ni kazi yao na ndo inayowaweka mjiniUkipewa wewe hizo pasi utaweza
tatizo ukiweka gemu 1 unapata odds 1 unaongeza point tu halafu mechi ulizoziacha zinashinda zote mkeka unao fuata lazma uweke mult-bet ndo utakuwa matokeo yanaenda oppositeHakuna cha AI kipindi cha nyuma nilikua nawin sana ila nilikua nikiweka game moja au mbili tu katika slip yangu ila sasa nilipoanza kuweka multi bet nyingi ndo kasheshe lilipo anzia
Nilishawahi kucheza kwa risk sana ila game nilikua naweka moja kwa siku nilikua nachqmbua nipate odds 1.30 kwa siku nikiwa na stake 1 mln nipate faida ya 250k per day nilifanikiwa kwa siku mbili tu nikakusanya nusu ya mtaji siku inayofata nilicheza game ya live nakumbuka ilikua game ya bayern na stattgut nikaweka bayern asiongeze goli ikiwa ni dakika ya 90 nikastake 1 mln nikasubiri hizo dakika mbili tu zilitosha muhindi aliondoka na pesa yote maana ile nimestake tu bayern anapata pernat na kufungatatizo ukiweka gemu 1 unapata odds 1 unaongeza point tu halafu mechi ulizoziacha zinashinda zote mkeka unao fuata lazma uweke mult-bet ndo utakuwa matokeo yanaenda opposite
Daa ni hatari aisee hapo kama ndo hela yenyew ya mawazo lazma ukajitupe kisimani mimi ni shaacha kbs kustake dau kubwaNilishawahi kucheza kwa risk sana ila game nilikua naweka moja kwa siku nilikua nachqmbua nipate odds 1.30 kwa siku nikiwa na stake 1 mln nipate faida ya 250k per day nilifanikiwa kwa siku mbili tu nikakusanya nusu ya mtaji siku inayofata nilicheza game ya live nakumbuka ilikua game ya bayern na stattgut nikaweka bayern asiongeze goli ikiwa ni dakika ya 90 nikastake 1 mln nikasubiri hizo dakika mbili tu zilitosha muhindi aliondoka na pesa yote maana ile nimestake tu bayern anapata pernat na kufunga
Betting ukiwa na mtaji mkubwa tu achana na multibet
Kesho bayern kushinda ni swala la lazima madrid kupata goal hapo unaweza ingia wewe kulitafuta ilo goalWazee kesho Bayern hatoi goal 3? Nataka kuchukua odds zao 1.81 na za goal moja kwa Madrid niwe na odds 2 niweke figo moja nipate 2
Hivyo yan kuna kupata na kukosa ila week hii nimepoteza sana kuna muda nalaumu tu mwenyeweDaa ni hatari aisee hapo kama ndo hela yenyew ya mawazo lazma ukajitupe kisimani mimi ni shaacha kbs kustake dau kubwa
Saiv mwisho elf 10 mwaka jana kdgo nichanganyikiwe
Hawa Spotybet Handcap zao zimewekwa kwa halves, sio full timeKesho bayern kushinda ni swala la lazima madrid kupata goal hapo unaweza ingia wewe kulitafuta ilo goal
Option nyepesi katika game ya kesho ni handicap tu
10 min draw ni uhakika kama utaweza kuhandle pressure yakoHawa Spotybet Handcap zao zimewekwa kwa halves, sio full time
hi wiki imekaa kitaperi sanaHivyo yan kuna kupata na kukosa ila week hii nimepoteza sana kuna muda nalaumu tu mwenyewe