Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shekhe dondosha namba PM nikugawie mchuzi kidogo
 
kumshawishi mkamaria ni ngumu sana.

ngoja niwaibie siri, kinachochana mkeka sio idadi ya mechi bali ni option uliyoweka. mkiendelea kuamini kuwa idadi ya mechi ndo inachana mkeka mtaliwa sana hela.
 
Allthebest. Hiyo option kuna siku unakuta refa kachanganyikiwa ni kumwaga yellow tu first half mi kadi kibao

Nimeishi humu kwa normal Leo.... Jana bodo fala sana ... Nikaweka waliobaki

Nikamrudisha tu hela yangu.. maana zilishapita timu 6 zilikuwa 11 ..1,5M.... Nikaweka 5000....msenge sana Bodo...
 
Mkeka ulivyokuwa umetiririka walikuwa wanabaki Leo
 

Attachments

  • Screenshot_20261025-130035.jpg
    109.7 KB · Views: 8
  • Screenshot_20261025-130047.jpg
    110.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20261025-130053.jpg
    114.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20261025-130057.jpg
    121.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20261025-130102.jpg
    109.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20261025-130113.jpg
    97.2 KB · Views: 7
Mkongwe kazini ... naomba code ya hii betslip twende pamoja.

Kwa moyo mkunjufu... Kuna timu bwana zimepunguziwa cards zilikuwa 6 zimekuwa 5 ..5 zimekuwa 4... Soo hizi ndio zimebaki vilevile kama nilivyokuwa nimeziwahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…