Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ingia kwenye ac yako kwa computer halafu bofya sehemu imeandikwa my account then itakuja window nyingune uta bofya deposite halafu pale kuna combo box chagua sports then utaona ziko optin za $ ambazo utataamua ww umenunua bet card ya bei ganu ukishaingiza zile card number una bofya deposit ni rahisi sana
 
kudiposit kwa kutumia simu hua inazingua kiaina ila kubet kwa kutumua simu haina shida
 
Fuc.k Arsenal, how on earth you dare producing a straight red card in a match wakati upo unaongoza nne bila.? Yaani mitimu mingine ipo kwa ajili ya kuudhi watu tuu.

Sheenzi kabisa
 
Nimepitia comment zote huko juu sidhani kama kuna aliyekula.. Duuuhh Mi nimepumzika mpaka mechi za ligi zifike kumi na CL round ya Pili..

Kauli mbiu ni ile ile tulinde mtaji hahaha
 
siku nzuri za kubet ni ijumaa , jumamosi , jumapili, hizi za katikati ya wiki tunafossiii tu

labda makampuni atakuwa amekula, teh teh teh

makampuni ameambiwa aweke timu 3 kila siku angalau kwa siku 5 au wiki moja nzima, sijaona comment ya Boflo!
 
Last edited by a moderator:
Fuc.k Arsenal, how on earth you dare producing a straight red card in a match wakati upo unaongoza nne bila.? Yaani mitimu mingine ipo kwa ajili ya kuudhi watu tuu.

Sheenzi kabisa

Mimi mwenyewe nilishangaa sana aisee. Anyways tusubirie kesho..,,
 
siku nzuri za kubet ni ijumaa , jumamosi , jumapili, hizi za katikati ya wiki tunafossiii tu

labda makampuni atakuwa amekula, teh teh teh

makampuni ameambiwa aweke timu 3 kila siku angalau kwa siku 5 au wiki moja nzima, sijaona comment ya Boflo!

Makampuni muhuni tu mkuu ahahaha... Kashauriwa akakope billion bank aingize kwenye haka kamcheza then apunguze deni mdogo mdogo
 
Last edited by a moderator:
siku nzuri za kubet ni ijumaa , jumamosi , jumapili, hizi za katikati ya wiki tunafossiii tu

labda makampuni atakuwa amekula, teh teh teh

makampuni ameambiwa aweke timu 3 kila siku angalau kwa siku 5 au wiki moja nzima, sijaona comment ya Boflo!

Ijumaa nitachungulia hata na kabuku 10 cha kutest nyota...
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu nimekuelewa vizuri sana nitatumia PC.
 
Habari wakuu, kwa Mwenye experience na kampuni mbali mbali, je ni ipi inatoa points nyingi zaidi ukishinda?
 
meridian wana point nyingi na option nyingi tu.
time langu Liverpool limeninyima hela
 
ngoja nichek Europa ligi Leo..last week walinipa hela
 
daaah haka kamtaji kangu kamebaki kanakaribia kukata..natafuta 50000 tu leo naweka 10000..naombeni team za ushindi
 
Fiorentina, Sparta prague, Dynamo kyiv, Tottenham, Internazionale, Villarreal, celtic, Borrusia M'gladbach, Sevilla

Mkuu possible za leo hizo hapo. Chagua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…