HIMLER
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 429
- 221
OK mkuu sasa ukiingia kwenye deposit unakuta options 3 hizi hapa chini, ukiclick hiyo ya kwanza inakupa credit na debit options na hiyo pop up hapo chini, sina hakika kama hapa ndio tunajaza hizo info za hiyo bet card voucher, na pia hizo card tunapata wapi mkuu.
ingia kwenye ac yako kwa computer halafu bofya sehemu imeandikwa my account then itakuja window nyingune uta bofya deposite halafu pale kuna combo box chagua sports then utaona ziko optin za $ ambazo utataamua ww umenunua bet card ya bei ganu ukishaingiza zile card number una bofya deposit ni rahisi sana