Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

NImtumie nani mkuu, kwa sababu huko hakuna nae mjua?!

kama alivyokushauri Raimundo afadhali ukajiunga na makampuni mengine kama iplay8 au hata meridian unakua na uhuru wa kuweka na ku withdraw winnings zako kwa Tigo&Mpesa
 
Last edited by a moderator:
wazee wa meridian, Naona mzungu kaiachia network. Now ni live kwenda mbele. Na hivi msimu wa basket umeanza. Hadi raha.
 
Leo kunasomekaje wakuu.. sina hela ya bia weekend nna 5000 ya mtaji hapa
 
kama alivyokushauri Raimundo afadhali ukajiunga na makampuni mengine kama iplay8 au hata meridian unakua na uhuru wa kuweka na ku withdraw winnings zako kwa Tigo&Mpesa

Wazee wenzangu nashukru sana ila mimi ni vetaran mzoefu kwenye hii sekta ya betting hizo website zote ninazo tiyari siku nyingi, naomba msiwe na wasiwasi na mimi. Sababu iwe mwenge ama fery sitapeliwi kizembe!
 
Last edited by a moderator:
kama alivyokushauri Raimundo afadhali ukajiunga na makampuni mengine kama iplay8 au hata meridian unakua na uhuru wa kuweka na ku withdraw winnings zako kwa Tigo&Mpesa

Wazee wenzangu naombeni msaada kwenye Bonus ya Meridian, nimejaribu kuwapigia wanieleweshe ila hawakupokea.

Ukiwa na bonus eg 40,000/=, inatumikaje? Maana kuna game ilikuwa na 0dd ya 2.05 nikaweka 20,000/= ili nipate 41,000/=, baada ya kuwini wakanipa 21,000/= tu.
 

bonus umeipataje????
 

Ni hivi Bonus unashauriwa uitumie yote kwa mara moja, e.g walipokuwekea 40,000/= ulitakiwa kuiweka yote na sio kuigawa, kwa sababu ukichezea Bonus then ukapga mzigo katika malipo yao wanakata ile Bonus yao. Ndo maana uliweka 20,000/= ukala 41,000/= but return ikaja 21,000/=. Na ile 20,000/= ya Bonus iliyobaki nafikiri huwezi kuitumia tena, si ndo hivyo?
 
Basket formula si ile ile

Yap bossss.....!

Hapa nilikuwa nimedraw mpunga wote baada ya kuona wanazingua network. Leo baada ya kuona network ipo stable nikadeposit buku 15, ila so far mpaka sasa nina buku 45








Na trend nzima ya leo ni hii


Kiufupi basket inalipa ukituliza kichwa.
 

Attachments

  • a.JPG
    9 KB · Views: 73

Tupia basi open ticket hizo na zingine japo nipate idea huku nabet
 
Tupia basi open ticket hizo na zingine japo nipate idea huku nabet

mkuu sikushauri ukopi hizo tiketi zangu. Maana mimi nilibet kwa timing. Na mpaka sasa point zishashuka sana. nimebet under wakati game inaanza na sasa ni karibuni 4th quater. So ni probability kushinda. Saa 3 nadhani kuna game nyingi zipo, wewe just stay focus. Game zinapoanza uzifuatilie. Hii sio kama footbal kusema unaipa timu unayoijua(maana timu nyingi za soka tunazijua), ila hapa mimi binafsi nabet live kutokana na trend ya match(nazijua timu chache sana za kikapu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…