Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wenzangu mimi nipo mwanza hizo bet Card huku hakuna yani nimejikatia tamaa baada ya kupa hizo habari za hiyo Card
Sana it is not easy money.
betting ni ngumu sana
Sana it is not easy money.
jana sevila kaninyima laki 8
very simpo unamtumia pesa anakutumia bet card wala hamna longolongo
NImtumie nani mkuu, kwa sababu huko hakuna nae mjua?!
wazee wa meridian, Naona mzungu kaiachia network. Now ni live kwenda mbele. Na hivi msimu wa basket umeanza. Hadi raha.
Basket formula si ile ile
kama alivyokushauri Raimundo afadhali ukajiunga na makampuni mengine kama iplay8 au hata meridian unakua na uhuru wa kuweka na ku withdraw winnings zako kwa Tigo&Mpesa
kama alivyokushauri Raimundo afadhali ukajiunga na makampuni mengine kama iplay8 au hata meridian unakua na uhuru wa kuweka na ku withdraw winnings zako kwa Tigo&Mpesa
Wazee wenzangu naombeni msaada kwenye Bonus ya Meridian, nimejaribu kuwapigia wanieleweshe ila hawakupokea.
Ukiwa na bonus eg 40,000/=, inatumikaje? Maana kuna game ilikuwa na 0dd ya 2.05 nikaweka 20,000/= ili nipate 41,000/=, baada ya kuwini wakanipa 21,000/= tu.

Yap bossss.....!
Hapa nilikuwa nimedraw mpunga wote baada ya kuona wanazingua network. Leo baada ya kuona network ipo stable nikadeposit buku 15, ila so far mpaka sasa nina buku 45
View attachment 190222
View attachment 190223
View attachment 190224
View attachment 190225
View attachment 190226
View attachment 190226
Na trend nzima ya leo ni hii
View attachment 190227
Kiufupi basket inalipa ukituliza kichwa.
Tupia basi open ticket hizo na zingine japo nipate idea huku nabet