snipercorp
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 174
- 41
mkuu sikushauri ukopi hizo tiketi zangu. Maana mimi nilibet kwa timing. Na mpaka sasa point zishashuka sana. nimebet under wakati game inaanza na sasa ni karibuni 4th quater. So ni probability kushinda. Saa 3 nadhani kuna game nyingi zipo, wewe just stay focus. Game zinapoanza uzifuatilie. Hii sio kama footbal kusema unaipa timu unayoijua(maana timu nyingi za soka tunazijua), ila hapa mimi binafsi nabet live kutokana na trend ya match(nazijua timu chache sana za kikapu).
naona mkeka wako unapumua vizuriMainvesta za weekend vp. Leo mkeka wa kukopi huu hapa: dijon,vitese,fc endhoheven,burton albion.
naona mkeka wako unapumua vizuri
bonus umeipataje????
Ni hivi Bonus unashauriwa uitumie yote kwa mara moja, e.g walipokuwekea 40,000/= ulitakiwa kuiweka yote na sio kuigawa, kwa sababu ukichezea Bonus then ukapga mzigo katika malipo yao wanakata ile Bonus yao. Ndo maana uliweka 20,000/= ukala 41,000/= but return ikaja 21,000/=. Na ile 20,000/= ya Bonus iliyobaki nafikiri huwezi kuitumia tena, si ndo hivyo?
mainvesta mkeka wa kesho wa kukopi huu hapa , sharing is caring....
18:00 pecsi - videoton , away team win ..........odd 1.52..........Hungary premier
18:30 viking - molde , away team win .............odd 1.7............Norway premier
19:30 Aston vila - man city , away team win.....odd 1.52..........English premier
19:00 Caen - marseile, away team win.............odd 2.0............France ligue 1
17:00 Derby - millwal , home team win..............odd 1.52......... English championship league
Total odds 12.1, hapo ukitia 50,000/=, laki sita hiyooo.......!!!
play safe and on your own risk
kuna timu ukiziweka mkekani inakupigania pesa yako hadi mwisho sio vitmu vijinga jinga vikishafungwa kurudisha na kushinda kazi, mamamae Bordeux !
leteni na nyinyi mikeka yenu tushee ....!!
Jamani hata mie jana wamenitumia email ya kunitaarifu kuhusu bonus. Nika log in merdian nikakuta bonus ipo nataka niitumie vizuri leo hii. Ushindi lazimaaaa
Mkuu hizo bonus zinatolewa kwa wanaowin pekee nini heeheeheee.?
Mkuu hizo bonus zinatolewa kwa wanaowin pekee nini heeheeheee.?
Hizo red wana activate saa ngapi leo????
Hizo red wana activate saa ngapi leo????
Mzee wa red! Mtandao wao wenyewe majanga mida hii.