snipercorp
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 174
- 41
mkuu sikushauri ukopi hizo tiketi zangu. Maana mimi nilibet kwa timing. Na mpaka sasa point zishashuka sana. nimebet under wakati game inaanza na sasa ni karibuni 4th quater. So ni probability kushinda. Saa 3 nadhani kuna game nyingi zipo, wewe just stay focus. Game zinapoanza uzifuatilie. Hii sio kama footbal kusema unaipa timu unayoijua(maana timu nyingi za soka tunazijua), ila hapa mimi binafsi nabet live kutokana na trend ya match(nazijua timu chache sana za kikapu).
Hapa nshaotea moja...maana nshakaa kwenye pc naskilizia trend inavyoenda