Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #5,261
Redcard wameshaziachia zipo za kutosha
Washenzi hawa, wanaziachia wakati mechi zishaanza
Wameachia kama lisaa limepita mi nimeziotea kama saa kumi hv
NO RED
Barcelona
Milan
levante
Almeria
Verona
E. Frankfurt
NO PENALTY
Aston Villa
Imetoa sh.ngap
90 kwa 15 ndugu
Kama ni meridian ndiye anayetoa hizi Red na Penalty basi nikose..,,
hahah baharia una machungu na mdosi
Wadau leo upepo unasoma kwa lecester city,swansea,derby na marseile
mechi za Barca hapana,. basi tena naachana nazo
mechi za Barca hapana,. basi tena naachana nazo
Mkuu kama uliweka draw utakua umepiga pesa asee
mechi za Barca hapana,. basi tena naachana nazo
Mechi zake zinanikoseshaga sana pesa..,, mechi zake zinaishaga na Red Card mara nyingi saana..,,Mkuu wa kikosi vipi tena mbona barca kashinda!
Red ndugu tena moja wakaona haitoshi wakaongeza nyingine ya pili..,,Nin tena katoa red card nin jaman??
Yaani ndio basi tena afadhali niachane na mechi zao kabisaa!!pole sana baharia barca wameharibu kila ki2