Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka nimehangaika kutoa lisaa lizima..,,


NO RED
Barcelona
Milan
levante
Almeria
Verona
E. Frankfurt
NO PENALTY
Aston Villa

Hope it pays off..,,
 
Hebu wadau naomba mnifahamishe hivi game ya swansea na newcastle haikuwa na kadi hata moja first half? Mana hawa iplay8casino siwaelewi elewi
 
Mkuu wa kikosi vipi tena mbona barca kashinda!
Mechi zake zinanikoseshaga sana pesa..,, mechi zake zinaishaga na Red Card mara nyingi saana..,,

Nin tena katoa red card nin jaman??
Red ndugu tena moja wakaona haitoshi wakaongeza nyingine ya pili..,,
pole sana baharia barca wameharibu kila ki2
Yaani ndio basi tena afadhali niachane na mechi zao kabisaa!!

Nimezitolea hizi mbili za spain zilizobaki nipate mtaji wa kesho..,,
 
Back
Top Bottom