strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Mechi zake zinanikoseshaga sana pesa..,, mechi zake zinaishaga na Red Card mara nyingi saana..,,
Red ndugu tena moja wakaona haitoshi wakaongeza nyingine ya pili..,,
Yaani ndio basi tena afadhali niachane na mechi zao kabisaa!!
Nimezitolea hizi mbili za spain zilizobaki nipate mtaji wa kesho..,,
Duh, siku mingi kweli watu hawajatupia mkeka wa ushindi na wa ushuhuda. Ndio kusema kanjibai anatamba ama .?
Umeona eeh!
Ndio maana Meridian katoa bonus, sio bure!
kuna mkeka niliweka humu, wote wametusua ila Derby county kaniua! sina hamu na timu za championship league!!Duh, siku mingi kweli watu hawajatupia mkeka wa ushindi na wa ushuhuda. Ndio kusema kanjibai anatamba ama .?
Hiyo mimi bonus sijaipata aisee, now i need it more than ever! keshoo asubuhii tuu nawapigiaa wanipe hako kabonasi..,,
Hahahaah..! Hizo bonus zinatolewa kwa vigezo gani.?
asee meridian kumbe somtym nae anachagua game za kuweka...... kuna gemu tatu leo hajaweka PSG V MONACO, WEST HAM V QPR NA DINAMO BUCHAREST V CRAIOVA...... hizi gemu 3 tu mtu unapoint zako 5...,
porto, napoli....nao hajawaweka bado.......
nimewapata aseee..... ila sasa mitamaa ya point nimeongeza timu bado nachuja..... hapo vp nani atoke nani aingie..... tujadilini mapema tumpige mhindi....View attachment 190600