Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


pole sana Mkuu,mi mwenyewe wameniibia hivyo hivyo last week na ukipiga sim wanakua wakali,achana nao au nenda of isi zao zipo airport DSM.
 

Uwe unakopi tiket namba wanazodisplay ktk kitendo cha mwisho make tiket kwa txt wakati mwngne zinachelewa.
 
Jaman mwenye namba za hawa jamaa wa iplay8casino anisaidiea maana nilitoa pesa kwa njia ya tgopesa hawajatuma had leo alaf wamenambia [TABLE="class: stdTable"]
[TR]
[TD="class: left"]34361[/TD]
[TD="class: left"]97[/TD]
[TD="class: left"]0.00[/TD]
[TD="class: left"]Withdrawal[/TD]
[TD="class: left"]2014-10-10 15:25:52[/TD]
[TD="class: left"]TigoPesa withdrawal / Ref: 86769442[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[/TR]
[/TABLE]
Wakanijjibu hvi
[TABLE="class: stdTable"]
[TR="class: odd"]
[TD="class: left"]34472[/TD]
[TD="class: left"]0.00[/TD]
[TD="class: left"]97[/TD]
[TD="class: left"]Withdrawal reversal[/TD]
[TD="class: left"]2014-10-11 12:49:15[/TD]
[TD="class: left"]TigoPesa withdrawal reversed / Ref: 86769442 [/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]
Maana yake nn wadau?
 

ngoja aje baharia ndo mwenyeji huko
 
CC Nzi
 
Last edited by a moderator:
mmmh hizi game za leo segunda div na Italy serie B kwakweli zinanitoa kajasho kembamba nshaandika hapa nakukokotoa hadi nimechoka kwani gap ya point kati ya tm zinazokutana ni ndogo mno na naona kuna kila dalili ya sare nyingi nataka nimpe Betis droo,Catania anakufa pa1 na Barsley,Lanciano win,perugia win,,crotone win.
 
Nilianza na 4000 ikafika 60000, nimetulia afu mi siweki mikeka naweka team moja moja, nilianza na egypt, brazil akajaza kabisa nikastop
 

Watumie email roburt@iplay8casino au leko@iplay8casino.com uwaeleze tatizo lako..,,
 
Game ya Betis imeisha naona mipango inaenda sawa leo kanjibai hachomoki.
 
Mbona watu hamuipendi Tanzania mpeni bana hizo hela
 
Hahaahahaa..! Mkuu Tanzania hakawii kuchana mikeka. Leo mkuu nimetembelea kijiwe cha shoppers. Vipi upo hapa leo.?

Hapana mkuu siko huko kwa sasa, niko kwa majirani zetu hapa.
Shoppers nakuwepo mostly Saturdays kuanzia saa tisa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…