strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Asanteni Stars komaeni mnipe hyo 72,000
Mzee mwenzangu hii game ya star ilikuwa kampuni gani?
tz against benini ilikuwa na odd ngapi?
Hivi GG ikoje?
Investors mpo?
Dah, jana Basket ilinitoa kimasomaso.
Investors mpo?
Vp team leo
Leo Public Holiday kesho ndo siku ya kazi
tips yangu ya leo
21:45 Iceland - Holland , GG odd 1.91
21:45 Bosnia - Belgium , X2&(0-3) 0dd 1.77
oyah wadau mi nipo mkoa huku wiki ya pili imenibidi nijiunge meridian online, sasa wameniambia naingiza pesa via M-Pesa. sasa sina line ya voda. je Nikiweka kw ku2mia line ya m2 mwingine cyo mbaya?! siku mzigo unatema ucje ikaingia kwenye sim yake .......
Grand PA
jitahidi ujisajili kupitia line yako. Itakuletea shida sana.
Haiwezekan kutuma hela kupitia lain ya mtu mwingine . Jarb tafuta lain ya voda ya kwako binafs :thumbup:
Asanteni wakuu! ngoja nifanye hivyo.
Grand PA