Meridian ni wezi.. Jamani kama unacheza mikeka ya pesa nyingi achaneni na meridian.. Nimewithdraw pesa kwenye account yao tangia alhamisi mpaka leo sijaiona. Nawapigia simu Mpesa na Meridian wananipiga danadana tu
mkuu mkeka wako ulikuwa upi huo mbona wantamanishaIlikuwa sh.ngap mkuu?? Minlichukua laki tatu jumatatu bila shida
mkuu mkeka wako ulikuwa upi huo mbona wantamanisha
wakuu mpira mtaliwa sana,kama unabet kwa nia ya hela na si ushabiki bet Hockey kwa kuchagua magoli zaidi ya 4 au 4.5,ukichagua timu chache lazima ule
Hebu tuelezee zaid kidogo boss...niapply leo leo
Mkuu hockey hawa wanafungana sana,wana vipindi vitatu,kila kipindi dk 20 wanapunzika,wanacheza dk 60,hawa lazima wafungane,USA ,na Canada wamewekewa magoli mengi so usiwacheze,cheza mechi za Urusi (Russia ),Austria,German ,na zile mechi zingine unazoona wameweka magoli zaidi ya 4 au 4.5
cheza ligi ya urusi,utashangaa magoli yamekamilika hata kipindi cha mwisho badoAcha njarib leo
Ilikuwa sh.ngap mkuu?? Minlichukua laki tatu jumatatu bila shida
Dah, aisee pole sana. Hivi mi huwa najiuliza haya makampuni yakiamua kutuchukulia hela za kwenye acc tunayashtaki wapi?
Mkuu mi nacheza basket, nikikaa vizuri kwasiku nafunga mahesababu hata na 50 mpaka 80.. Sema nao wakiniotea wananifumua hasa. hiyo ya hockey tupe timu mkuu, muhindi lazima tumfilisi japo hafilisikiwakuu mpira mtaliwa sana,kama unabet kwa nia ya hela na si ushabiki bet Hockey kwa kuchagua magoli zaidi ya 4 au 4.5,ukichagua timu chache lazima ule
ligi ya Russia mkuu,german,austria,denmark,aisee basket nayo pia iko poa,ila mpira siyo kabisa aiseeMkuu mi nacheza basket, nikikaa vizuri kwasiku nafunga mahesababu hata na 50 mpaka 80.. Sema nao wakiniotea wananifumua hasa. hiyo ya hockey tupe timu mkuu, muhindi lazima tumfilisi japo hafilisiki
ligi ya Russia mkuu,german,austria,denmark,aisee basket nayo pia iko poa,ila mpira siyo kabisa aisee
hawa majamaa wanacheza dk 60,mapunziko dk 20,so wana vipindi 3 vya dk 20 kila awamu,huwa nikicheza kwamba watafungana zaidi ya 4 au 5 naona nafanikiwa,hawa ni kuwakisia kwa magoli si flani atashinda,ukicheza timu nne au tatu utaona tofauti na mpira,mpira hautabiriki kabisa,mdogo anamfunga kubwa.Mkuu tupe maujanja ya hockey
hawa majamaa wanacheza dk 60,mapunziko dk 20,so wana vipindi 3 vya dk 20 kila awamu,huwa nikicheza kwamba watafungana zaidi ya 4 au 5 naona nafanikiwa,hawa ni kuwakisia kwa magoli si flani atashinda,ukicheza timu nne au tatu utaona tofauti na mpira,mpira hautabiriki kabisa,mdogo anamfunga kubwa.
au kama unabet on line subiri mpaka dk ya 10 kipindi cha kwanza then bet watafungana 3.5