Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Meridian ni wezi.. Jamani kama unacheza mikeka ya pesa nyingi achaneni na meridian.. Nimewithdraw pesa kwenye account yao tangia alhamisi mpaka leo sijaiona. Nawapigia simu Mpesa na Meridian wananipiga danadana tu
Dah, aisee pole sana. Hivi mi huwa najiuliza haya makampuni yakiamua kutuchukulia hela za kwenye acc tunayashtaki wapi?