Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Meridian ni wezi.. Jamani kama unacheza mikeka ya pesa nyingi achaneni na meridian.. Nimewithdraw pesa kwenye account yao tangia alhamisi mpaka leo sijaiona. Nawapigia simu Mpesa na Meridian wananipiga danadana tu

Dah, aisee pole sana. Hivi mi huwa najiuliza haya makampuni yakiamua kutuchukulia hela za kwenye acc tunayashtaki wapi?
 
So automaticaly ukiweza kuprove ulikuwa na hela kiac khadhaa na saiv haipo unaweza kuwashtak....ishu yao ni kama ya bank tu
 
Ingekuwa sio legal basi ndo ingekuwa shida...ndo maana wanaweka terms and conditions.technicaly wanatoa liability unayoweza kuwashtak nayo...mfano bet responsibly....
 
wakuu mpira mtaliwa sana,kama unabet kwa nia ya hela na si ushabiki bet Hockey kwa kuchagua magoli zaidi ya 4 au 4.5,ukichagua timu chache lazima ule
 
Hebu tuelezee zaid kidogo boss...niapply leo leo
 
Mkuu hockey hawa wanafungana sana,wana vipindi vitatu,kila kipindi dk 20 wanapunzika,wanacheza dk 60,hawa lazima wafungane,USA ,na Canada wamewekewa magoli mengi so usiwacheze,cheza mechi za Urusi (Russia ),Austria,German ,na zile mechi zingine unazoona wameweka magoli zaidi ya 4 au 4.5
 
Acha njarib leo
 
Ilikuwa sh.ngap mkuu?? Minlichukua laki tatu jumatatu bila shida

mkuu hata mimi niliwithdraw jumatano bila shida ila transaction ya alhamisi mpaka leo naona ziiii.. ila nimeongea nao wamesema wataituma sijui transactions zilijam
 
Dah, aisee pole sana. Hivi mi huwa najiuliza haya makampuni yakiamua kutuchukulia hela za kwenye acc tunayashtaki wapi?

asante mkuu, wamesema wanaishughulikia. Vipi pambano lako na muhindi hadi sasa nani ana ahueni??
 
wakuu mpira mtaliwa sana,kama unabet kwa nia ya hela na si ushabiki bet Hockey kwa kuchagua magoli zaidi ya 4 au 4.5,ukichagua timu chache lazima ule
Mkuu mi nacheza basket, nikikaa vizuri kwasiku nafunga mahesababu hata na 50 mpaka 80.. Sema nao wakiniotea wananifumua hasa. hiyo ya hockey tupe timu mkuu, muhindi lazima tumfilisi japo hafilisiki
 
ligi ya Russia mkuu,german,austria,denmark,aisee basket nayo pia iko poa,ila mpira siyo kabisa aisee
 
Mimi leo wafe wao au mimi. Leo ni leo asemae kesho mwongo
West Brom,Southamton,Arse,Newcastle,Stoke city,arsenal, chelsea, real,atlet,bayern,anderlech
 
Pesa hiko hapa wakuu..
Liv win
roma win
vfl wolfsburg win
Southampton win
Wolves win
cardiff win.
Fsv mainz
Kesho tuamke na mpunga wote hapa jamvini.
N.B.KM UNAFUATA KARIBU SN BUT USIWEKE CAP SULUU WALA HANDICAP.NIMEWEKA ELF 10 WITH NO DIFENSIVE MECHANISM
 
Mkuu tupe maujanja ya hockey
hawa majamaa wanacheza dk 60,mapunziko dk 20,so wana vipindi 3 vya dk 20 kila awamu,huwa nikicheza kwamba watafungana zaidi ya 4 au 5 naona nafanikiwa,hawa ni kuwakisia kwa magoli si flani atashinda,ukicheza timu nne au tatu utaona tofauti na mpira,mpira hautabiriki kabisa,mdogo anamfunga kubwa.
au kama unabet on line subiri mpaka dk ya 10 kipindi cha kwanza then bet watafungana 3.5
 
Thanx ngoja nijaribu kuwekeza na huku
 
Back
Top Bottom