Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #6,761
Wale wa basket; Dallas vs Phill Half 1 handicap -7.5 Dal win, odd ni 1.91.
Memphis vs Sacramento kings; Memphis win, odd 1.4.
GSW vs NY Nets: GSW win, odd ni 1.24.
Hizi game mi najilipua jamani, Mtoto wa nzi, Rockcity native (C.E.O) na wengineo tujumuike hapa.
MATHEMATICS:
jana nmebet game ya ESTONIA NA NORWAY ila naon loser ticket
Mm nimejiunga leo ,na nimeona jinsi mtu unaweza pata hizo bonus .Yaani you must do something au unapewa tu manake tangu nimejiunga nao sijawahi kukutana na bonus. Au kuna some requirements?
mkuu mi natumia huawei p6 nilikumbwa na hilo tatizo hata application yake kwenye playstore ilikua haifanyi kazi
soln hapo niliupgrade android os v 4.2.2 kwenda kitkat v4.4.2...inapiga kazi fresh kabisa...jaribu kuangalia www.huaweinews.com kama kuna os mpya ya y300..
Kaka hakuna Upgrade yeyote , na mpaka sasa nalazimika kutumia laptop , nikiwa siko maeneo ya Computer kwakweli nakosa fursa hiyo .
Ni nn naweza kufanya tena ,niweze kuaacess kwa simu yangu
Unatumia kasimu gani ww
kaHUAWEI Y 300.
Mm nimejiunga leo ,na nimeona jinsi mtu unaweza pata hizo bonus .
Ni hivi , bonus inapataikana baada ya mtu kubet premier league kwa dau la kuanzia Tsh 5000/= , na baada droo huchezeshwa kumpata mtu mmoja ambaye atazawadiwa Bonus ya Tsh 200000/= .
Bet mara nyingi uwezavyo kujijengea mazingira ya kua mshindi.
Droo hiyo inachezeshwa bila kufuaata mpangilio maalumu.
1.Njia ya kwanza.Unaingiaje
Sasa unatumia huawei Y300 nayo simu
Jamani acheni ubahili
Nunua hata ka htc m7 or samsung s3 or lg g2 na kuendelea kama unapenda kufaidi online betting
Mi sijuagi bonus inatokeaje ila nimesapataga 14000 bonus 21000 na juzi kati 6000
Yaani mimi nimewekeza kwenye vitu vya kuniletea mapato
Laptop HP ENVY M6 touch smart
Mobile phone SAMSUNG NOTE 3
for blog na kubet