Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wapigie kwenye hii namb meridia 0754303032 huwa wanazngua sana kutia mpunga mie hela yangu nimeymtoa mpk leo siku ya 3 kimyaaa
 
Hii michezo bana ukipanic utaliwa mpaka uuze mali..... Ukiona unapigwa sana za uso....tulia..... Au hamia michezo mingine..... Afu kingine ...mtu anaona kaliwa anaanza kuweka madau makubwa ili arudishe bado unapigwa...... Kosa lingine unakuwa na mikeka mpaka 10 !!!!ya nini yote hiyo...bado kuna timu utakuta ipo kila mkeka..... Tafuta point walau 10 weka mzigo mrefu......
 
Yaan hela bora ukaweke kwenye ofis zao na kutole huko ila kwa mpesa inachelewa sana
 
Mechi ya saa tano ndio hiyooo inaanza

Mechi ya saa tano itakuwa ishaisha mkuu,
Naona team ya kwanza tu ishararua mkeka wako,. Pole sana

Hii ndo betting bhana timu unaipa cap yenyewe ndo inapigwa cap, unaweza ukajinyonga yani.
 
Akili tu, no many teams.
Na pesa inaingia.
 

Attachments

  • 1415971521357.jpg
    51.8 KB · Views: 128

Hii ilijibu vizuri, natafuta nyingine ya kutupia hapa.

Ila Memphis kashinda kingekewa sana.
 
Wale wa Basket tufuatane kwa ushauri pia!




Pia game zenye chance kubwa ya kuwa over ni Boston vs Cleveland (214.5) odd 1.91 na LAL vs SAS (206.5) odd 1.90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…