Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapigie kwenye hii namb meridia 0754303032 huwa wanazngua sana kutia mpunga mie hela yangu nimeymtoa mpk leo siku ya 3 kimyaaa
Wapigie kwenye hii namb meridia 0754303032 huwa wanazngua sana kutia mpunga mie hela yangu nimeymtoa mpk leo siku ya 3 kimyaaa
Yaan hela bora ukaweke kwenye ofis zao na kutole huko ila kwa mpesa inachelewa sana
Masaa mawili tu. Inaingia nyie wa wapi nyiew
mbona masaa ma2 mengi..... japo sijaweka mda mrefu..... wanaweka watu fasta tu..... labda kama unakosea..... ukiwapigia wanasemaje.....
Wapigie kwenye hii namb meridia 0754303032 huwa wanazngua sana kutia mpunga mie hela yangu nimeymtoa mpk leo siku ya 3 kimyaaa
Mechi ya saa tano ndio hiyooo inaanza
Mechi ya saa tano ndio hiyooo inaanza
Wale wa basket; Dallas vs Phill Half 1 handicap -7.5 Dal win, odd ni 1.91.
Memphis vs Sacramento kings; Memphis win, odd 1.4.
GSW vs NY Nets: GSW win, odd ni 1.24.
Hizi game mi najilipua jamani, Mtoto wa nzi, Rockcity native (C.E.O) na wengineo tujumuike hapa.
Hii ilijibu vizuri, natafuta nyingine ya kutupia hapa.
Ila Memphis kashinda kingekewa sana.