Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


mkuu ni kweli mimi mwenyewe jana nilitaka kumbetia liver na spurs . wakati naelekea kwenye ofis za premium nikasahau ela mezani niliporudi nikachukua ela nikaondoka nilipofika njiani nikagundua mlango sijafunga ikabidi nirudi tena home kufunga mlango. muda huo wote nawaza huyu shetani wa kusahau anataka kuninyima ela nini. wakati huo nawaza nitupie laki 3 nipate M.1 na zaidi .nilipofika kwenye ofis husika mhusika hayupo ameenda kula basi nikajisemea kimoyomoyo huyu shetani kafanikiwa kuninyima ela .baadae nikaamua kuelekea kucheki game roho iliniuma sana liver walipopata goli kwa sababu ya kukosa ile milioni lakini baada ya dk 90 nilicheka sana. Kwa hiyo nimejifunza wakati mwingine inabidi kukubaliana na mazingira tu
 
Last edited by a moderator:
halafu wakuu mbet leo ukiingia inakuletea maelezo tofauti kwamba M-BET Beta
*18** . sasa nashindwa niingize data zipi nipate menu ya mechi. naombeni msaada wakuu
 
halafu wakuu mbet leo ukiingia inakuletea maelezo tofauti kwamba M-BET Beta
*18** . sasa nashindwa niingize data zipi nipate menu ya mechi. naombeni msaada wakuu

mbona mi ipo kawaida tu... Halafu wameanzisha online na wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…