Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi nimempa sevilla,.grabaII na Chelsea elfu hamsini inatoka 113000
 
BragaB washawachomeka kimoja olhaness bado viwili vitimie3-0
 
Freamundo kabutua

aisee hii game imenishangaza sijui ilikua imeuzwa. Mwanzoni mchana freamunde alipewa 1.80 badae masaa mawili kabla ya game akapewa 2.40. Game ikaaanza kufika dk ya 20 akapewa 4.10 kufika dk ya 30 akapewa 6.30 nikaona tayari game nyeusi haiwezekani tim inayoongoza ligi ods zipande haraka haraka kiivo..
 
Mkuu vp madrid na arsenal

usibet mapenzi au kisa timu kubwa.... angalia performance ya timu na timu.... southampton ndio timu yenye form ikifatiwana newcastle..... wanadefense ngumu.... wana rate kubwa sana ya marking...tuckling....attacking...yaani kila idara msimu huu soton ni bora kuliko hata chelsea.... ila somtym timu kama umeamka nayo ....sio mbaya..... ila kwa uzoefu wa EPL mechi ya arsenal ndio ngumu kuliko zote leo.....
 

freamundo ni kama LUTON au WOLVES..au BRENTFORD.....wote wamepanda madaraja....na wapo kwenye positions nzuri... akikutana na mzoefu wa hilo daraja anapata tabu sana...ndio maana matokeo yao sio consistent...... MCHANA TULISHAURI OLIVEIRENSE(KASHINDAKWA TABU) NA FREAMUNDE WATEME....
 

kwa ile tahadhari ya mchana mlionipa nilipunguza mzigo...
 

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
sure bet

Lille vs PSG , PSG win odd 1.71
Sopron vs Debrecen, Debrecen win odd 1.57
Alloa Ahtletic vs Rangers, Rangers win odd 1.3
Celtic vs Patrick thistle, Celtic win odd 1.17

total odd 4.08

Sopron 1 - 1 Debrecen
 
hatari.....mkeka wa 2+ anaua arsenal... mkeka wa normal anaua everton aseeee..... shikamooo mhindi..... nibaki na kikaou na volleyball ......
 
Everton timueni kocha anatukosesha sana hela

hatari sana....mtaji wangu wote nlodunduliza ameondoka nao..... kifupi nimefilisiwa..... yaani acha tu..... ningecheza halftime win ikukua wote tayari .....kumamamake MARTINEZ..... kwa maumivu haya tutaonana mwakani.... BUASHARA NJEMA....NIMEKOMA
 
hatari sana....mtaji wangu wote nlodunduliza ameondoka nao..... kifupi nimefilisiwa..... yaani acha tu..... ningecheza halftime win ikukua wote tayari .....kumamamake MARTINEZ..... kwa maumivu haya tutaonana mwakani.... BUASHARA NJEMA....NIMEKOMA

betting ni kama unga huwezi acha kuvuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…