Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Houston vs Sc Kings bora uwape Kings coz Houston msimu huu hawajakaa vyema kabisa.
 
Houston vs Sc Kings bora uwape Kings coz Houston msimu huu hawajakaa vyema kabisa.

Timu zote mbili hazina Bigmen wao, Dwight Howard kwa Houston na DerMacus Cousins kwa SC Kings; Houston wanaonekana kucop zaidi ya SCK, wamepigwa sana baada ya jamaa kuwa majeruhi.
 
oklahoma win
sacramento win
Atlanta hawks win
washington win
LA Clipers win
Golden state win

meridian haifungui huku sooo sijui game gani wameweka na overs zao zikoje....
 
najilipua kama ilivyo hapo

OKC hawezi kuifunga Cleveland, jamaa ndo wametoka majeruhi hawajaclick kiivyo (mtazamo wangu),afu game zingine ni za kuamkia Jumamosi, sio za kesho.
 
OKC hawezi kuifunga Cleveland, jamaa ndo wametoka majeruhi hawajaclick kiivyo (mtazamo wangu),afu game zingine ni za kuamkia Jumamosi, sio za kesho.

Ni kweli nimecheki hapa sijaziona hizo game zingine.. naona ziko mbili tu usiku wa leo.. ngoja nifate ulivyosema nikiliwa utarudisha pesa yangu haha
 
Ni kweli nimecheki hapa sijaziona hizo game zingine.. naona ziko mbili tu usiku wa leo.. ngoja nifate ulivyosema nikiliwa utarudisha pesa yangu haha

Mkuy tushaliwa hii, naona dalili za under, jamaa wanakosakosa sana, wanaboaaa
 
Mkuy tushaliwa hii, naona dalili za under, jamaa wanakosakosa sana, wanaboaaa

Kama niliota hivi nikacheza online ile saa saba.. sasahivi nimeamka nione trend zinavyoenda nakuta Okm anakimbizwa.. Naisubiria game ijayo hii sigusi..
 
Kama niliota hivi nikacheza online ile saa saba.. sasahivi nimeamka nione trend zinavyoenda nakuta Okm anakimbizwa.. Naisubiria game ijayo hii sigusi..

Kocha wa Cleveland kazingua, kamuweka James Lebron benchi, na baada ya kuona James yuko benchi odds zilipanda kinoma kwao Clev, OKC wanashinda game.
 
Daah nimekula 40000 bila kuumiza kichwa..matimu wala siyajui ila nilijua yatafungana tu magoli mengi kipindi cha kwanza

dah... mkuu hii ya kubet online kwenye simu naitaka sana lakini cjui jinsi ya kujiunga na utaratibu wake manake muda mwingine nakosa muda wa kubeti so hii ingenifaa zaidi msaada please.
 
yani Fiorentina kapigwa na Dinamo Minsk, yani walah mech imeuzwa! Fiorentina must have been told to lose the match ! pumba.f italy teams
 
Ni kweli nimecheki hapa sijaziona hizo game zingine.. naona ziko mbili tu usiku wa leo.. ngoja nifate ulivyosema nikiliwa utarudisha pesa yangu haha

Duh, mkuu hatari sana! Inaonekana SC Kings naye anaweza kushinda, game iko under.
 
Almeria-Real Madrid
Goal in Both Halves
Yes
1.38
X
Creteil-Arles
Double chance
12
1.31
X
Fenerbahce-Sivaspor
Goal in Both Halves
Yes
1.54
X
Valenciennes-Chateauroux
Final Score
1
1.74
X
Zadar-Split
Double chance
12
1.27
X
Brighton-Millwall
Goal in Both Halves
Yes
1.84
X
Heracles-Dordrecht
Final Score
1
1.35
X
Queen of South-Rangers
Goal in Both Halves
Yes
1.62
X
Pandurii-Otelul Galati
Final Score
1
1.48
X
Gamba Osaka-Yamagata
Final Score
1
1.40
X
Hapoel Kfar Saba-Beitar Tel Aviv R.
Final Score
1
1.45
X
TSG 1899 Hoffenheim-Eintracht Frankfurt
Goal in Both Halves
Yes
1.45
X
Total Odd
107.85
naombeni editing jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…