Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
nakuletea kikapu soon.....
nasubiria mkuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuletea kikapu soon.....
nasubiria mkuu..
NBA kuna game 2, Clev vs OKC; weka over 204 pts, Houston vs SC Kings, Houston win
Houston vs Sc Kings bora uwape Kings coz Houston msimu huu hawajakaa vyema kabisa.
oklahoma win
sacramento win
Atlanta hawks win
washington win
LA Clipers win
Golden state win
meridian haifungui huku sooo sijui game gani wameweka na overs zao zikoje....
Kweli kabisa.Timu zote mbili hazina Bigmen wao, Dwight Howard kwa Houston na DerMacus Cousins kwa SC Kings; Houston wanaonekana kucop zaidi ya SCK, wamepigwa sana baada ya jamaa kuwa majeruhi.
najilipua kama ilivyo hapo
OKC hawezi kuifunga Cleveland, jamaa ndo wametoka majeruhi hawajaclick kiivyo (mtazamo wangu),afu game zingine ni za kuamkia Jumamosi, sio za kesho.
Ni kweli nimecheki hapa sijaziona hizo game zingine.. naona ziko mbili tu usiku wa leo.. ngoja nifate ulivyosema nikiliwa utarudisha pesa yangu haha
Mkuy tushaliwa hii, naona dalili za under, jamaa wanakosakosa sana, wanaboaaa
Kama niliota hivi nikacheza online ile saa saba.. sasahivi nimeamka nione trend zinavyoenda nakuta Okm anakimbizwa.. Naisubiria game ijayo hii sigusi..
Daah nimekula 40000 bila kuumiza kichwa..matimu wala siyajui ila nilijua yatafungana tu magoli mengi kipindi cha kwanza
Ni kweli nimecheki hapa sijaziona hizo game zingine.. naona ziko mbili tu usiku wa leo.. ngoja nifate ulivyosema nikiliwa utarudisha pesa yangu haha
Duh, mkuu hatari sana! Inaonekana SC Kings naye anaweza kushinda, game iko under.