Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

yani ninamaanisha kuwa hiyo buku kumi sio kwamba naitumia yote itakuwa naweka 100 paka iishe nadhani nitakuwa master
 

Tamaa zinaponza sana, mi najiwekeaga mpango wa kucheza game 1 1! Lakini baadae nakiuka na ndipo napopigwaga za uso.
 
We jamaa maneno yako kama vile umetumwa na Mhindi kumfanyia marketing!
 
hahahaha mkuu changamkia fursa... nakumbuka uliweka ahadi ya kumfilisi muhindi

Jamaa mbaya kinoma, nasua sua kweli, ila anakaribia kuingia kwenye anga zangu!

Naona NBA under na over total points ndio kidogo naweza kutokea! Natafuta mtaji kama 2m, nizitenge kwa laki tano tano, nakuwa naangalia upepo, siku nikiona game ambayo naielewa natupia laki 5 kwa odds ya 1.78-1.85! Nikila naitoa, nasubiria siku nyingine tena.

Nikicheza kwa wiki mara 3, nafanya assumption ya kupatia 2 na kukosa 1, nakula laki nane/tisa naliwa laki 5. Nikipiga faida ya laki 3 mpaka nne kwa wiki si haba.

Na hii inawezekana tu ikiwa nitaacha uroho wa kutafuta odds nyingi.

Mtaji ukiongezeka nacheza milion milion.
 

Hizi game zina faida kama unaweka pesa nyingi kwa mechi kadhaa.. Kama niliweza kuanza na 20 saa 11 asubuhi then saa 4 usiku nikawa na 130 ina maana ningekuwa nimeanza na laki 2 ningelala na 1.3M.. Million 2 ningelala na 13M.. Daaah siku ndio ukipigwa hiyo 2M unaweza kujikuta Ocean Road
 

Ha ha ha! Hizo hesabu ni za nadharia mkuu, kwa sababu kadri hela inavyokuwa kubwa ndiyo risk ya kupoteza inakuwa kubwa maana unaogopa ogopa mpaka unakosea.
 

Mkuu hyo buku 20 ulikuwa unachezea mchezo gan na option zipi ?
 
Nyie mlio mtandikia mkeka huyu kigogo .....
 

Attachments

  • 1420912701479.jpg
    14.3 KB · Views: 142
Dah nitakuwa nacheza game mmoja moja tu tena kwa laki. Maana mikeka inauawa tena mapema
 
wa mwisho leo.betis win valencia win na porto win .nirudishe mtaji.
 

Sasa hii over au under nabetia kwenye quarter 4/4 au vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…