Dah nshapoa mkuu hapa naona naweza nkasbr premier na championship mana haya mataifa mengine chengaDaaaa pole sana ile double chance yake nliitema jana coz huaga haitoagii mala kwa mala na ndio maana nliwaaamin Ireland
Nipo chimbo mkuuMkuu za leo vipi
PointDah nshapoa mkuu hapa naona naweza nkasbr premier na championship mana haya mataifa mengine chenga
kwa mara ya kwanza namshuhudia mzee mzima Root akiandika maelezo marefu kidogo[emoji122] [emoji122] [emoji122]afu unakuta kuna wehu wanasema kuwa betting ni easy money.......
ukiweka over timu hazifungani....
ukiweka under watu wanapigana kwa hasira dakika 10 magoli 4....
yaani hii ni kazi ngumu kuliko kazi inayofanywa na palamaganda na barrick ....
hapa watu wanatumia akili kufikiri ili wasiliwe afu wajinga wachache wanasema kuwa ni hela nyepesi......
namheshimu sana mtu ambaye anashinda hata kama ni 500
hebu fikiria mtu unaiamini timu kubwa kama real afu inafungwa na katimu kadogo.... ukiacha kufungwa tu hata kutoa over 1.5 inashindwa toa afu jitu linasema ni hela nyepesi.... kama ingekuwa nyepesi kila mtu angewekeza huko.......
hakuna kazi ngumu kama betting maana unatumia akili kuzisoma timu...timu zenyewe nazo zinabet....
kama mechi ya juzi ya chelsea mtu eti mechi kubwa hata magoli 2 yakakosekana...
sitasahau mechi ya chelsea na swansea, nikampa chelsea 4.9mil tsh enzi hizo hakuna kukatwa kodi.....
chelsea alikua nyumbani ila akadunguliwa na swansea iliniuma sana siku hiyo sitakuja isahau maana ndio siku nilipoteza hela nyingi kwenye mechi 1.....
kwenye msimu huu wa vyuma kukaza hakika betting itapata pesa za wengi mno maana wale wa 1000 ni wengi sana wanaliwa
TUSIKATE TAMAA
Ukujarib leo utaona kuna miyeam inajipendekeza kwa Kanji dk ya 5 goalSure hata 28+ zote zilikibali jana mpk loho inauma
kwani kwenye forex ndio huliwi ndugu?Hamieni kwenye forex,
Kanji katoa kafara kali Sana, haliwi huyo
Wezi hao kama unalipia baada ya kuwin sawa ila kabla kataaNani amejaribu kuweka mzigo (kubet) Fixed Matches zake sagarsurvesh@gmail.com tafadhali. Naomba advice sababu I want to invest kwa Fixed Matches. Anasema zake ni za South American leagues only.
View attachment 606163
Jaribu kwenda kwenye uzi wa Kubeti kule utapata wadauNani amejaribu kuweka mzigo (kubet) Fixed Matches zake sagarsurvesh@gmail.com tafadhali. Naomba advice sababu I want to invest kwa Fixed Matches. Anasema zake ni za South American leagues only.
View attachment 606166
Acha utotoNani amejaribu kuweka mzigo (kubet) Fixed Matches zake sagarsurvesh@gmail.com tafadhali. Naomba advice sababu I want to invest kwa Fixed Matches. Anasema zake ni za South American leagues only.
View attachment 606163
Hakuna fixed matches zinazouzwa kama njugu mitandaonAdvice ni utoto??
Grow up
Chonde chondeMatusi ya nini?
Mamako na babako wangetumia Condom kweli sababu hiyo umalaya yao imeleta ujinga duniani