Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wewe acha tu mkuu mimi moyo uliwakata Boston na Houston ukamuangukia Denver lakini duh

Unakumbuka nilikwambia kuhusu Knicks, baada ya kumshinda Cavs lazima watakuwa walipata confidence, kuna dogo anaitwa Porzingis, huyu ndo wamemkabidhi timu na kila kukicha ana-improve.

Bila kusahau walikuwa kwao.
 
Kuongozi mimi binafsi nimuumin wa hakuna magoal katika mpira..# ndo maana napenda kubet mpira kwa ligi za america ya kusini na africa..so naamini katika under# kwa upande wa ligi za magoal najua zipo nyingi kama la liga..australia..ujeruman kama bundesliga2.na hata 1..turkey..hongkong..ufikipino# championship na lig za chini kama legue 1..2..na national ligue uko kupata over 1.5 na gg ni kawaida # lig ya japana na epl kiukweli ni lig ambazo hazitabiriki kabisa lolote laweza tokea..muhimu ujue ayo kwanza


Kwa swali ulilo uliza ni kweli laliga n lig ambayo timu zake zinakamiana sana lakini inabid ujue baadhi ya mambo
Kama kuna baadhi ya timu now aziko form na zitachukua muda sana mfano mzuri ni real madrd..na ata odd zake azina impct katika mkeka
Ukinambia option iliyo safe uko ntakwambia ni over 1.5..na option ya gg..ila usiguse habari ya 3 way au no redcard au no penalty..izo option n tata sana
Nakubaliana na buddy kuna baadhi ya game unaangalia unalinganisha na statistics mfano tunajua real sociedo uwa anamkazia sana barca so kbla ujaplce unafanya maamuzi yako
Nikikutana na atletico apo uwa najua ni goal 1-3 mwisho au 0 kabisa
Servilla uwa najua anakamia game japo kwa msimu u naona anajikongoja so napo option safe n 1.5...
 
Nimeongeza kitu hapo mkuu, shukrani.
 
I hope hii hali ya kuandamwa na mchawi mmoja itaisha leo ... else itabidi nichukue break ya wiki 1 hadi 2, maana nimekuwa namchangia huyu jamaa kwa kiwango cha kutisha sn. Luck is not on my side recently.


 
I hope hii hali ya kuandamwa na mchawi mmoja itaisha leo ... else itabidi nichukue break ya wiki 1 hadi 2, maana nimekuwa namchangia huyu jamaa kwa kiwango cha kutisha sn. Luck is not on my side recently.


View attachment 621182

Kuna quotation niliisoma kwenye kitabu cha Robert Kiayosaki and Donald Trump cha "Why we want you to be rich", inasema,

"Sometimes it's best to walk away and live to fight another day"

Ukiona uko kwenye losing trend unakula pozi kwanza.
 
wadau ni aje poleni na harakati za kumsaka kanji..

sasa leo nilikuwa nataka ku withdraw pesa kutoka premier kupitia simu bahati mbaya ile hela nikajikuta nimeitoa kwa njia ya vocha sasa sijaelewa kuwa watanitumia code then nikatoe kwenye ofisi zao au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…