Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha... Naona ndoto ya vits ilizimwa kama taa.
 
Mwenzenu toka nimejiunga princess bet nachezea vichapo tu, sijui nna gundu gani af nshakua teja wa kubeti. Sijui nitafute mtaalam wa saikolojia[emoji16]



 
Mwenzenu toka nimejiunga princess bet nachezea vichapo tu, sijui nna gundu gani af nshakua teja wa kubeti. Sijui nitafute mtaalam wa saikolojia[emoji16]



Nahangaika nipate mtaji wa kuweka stake kubwa jamaa wanatafuna hela kiulaini hawajui nnakozitoa[emoji35]
 
Niliwithdraw mida mibovu baada ya game nikajua asubuhi na mapema napata ya supu.

Nashukuru sana nilikuwa sifahamu hiyo issue.

Ila hadi sasa kimya
Uwenda tatizo likawa mtaji mbona juzi nime withdraw 1000 ( buku) hata dk 3 hazikufika nikawa nimepata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…