Yanakuja kutokea usiofhania kabisa manNikweli yalitokea, Issue ni kuzichambua kabla mechi hazijachezwa na kuweka dau Mkuu. Hapa ndipo shughuli iliko.
If other factors are kept constant, ALBIREX NIIGITA atashinda mapema sana. Toka ligi ya SINGAPORE ianze amepoteza match 1 tu akiwa nyumbani, alifungwa na giant mwingine anaitwa HOME UTD. Wenye imani tumjaribu KANJI. Ili kufanya odd iwe sounding tuweke combo na MELBOURNE CITY
Cha ajabu sasa huyo Albirex anaweza akapigwa ama kudraw
Like melbourne city ashmde??If other factors are kept constant, ALBIREX NIIGITA atashinda mapema sana. Toka ligi ya SINGAPORE ianze amepoteza match 1 tu akiwa nyumbani, alifungwa na giant mwingine anaitwa HOME UTD. Wenye imani tumjaribu KANJI. Ili kufanya odd iwe sounding tuweke combo na MELBOURNE CITY
Mimi naamini atashindaCha ajabu sasa huyo Albirex anaweza akapigwa ama kudraw
Over 2.5Like melbourne city ashmde??
Mkuu umehadimika[emoji106]
nimerud mkuu kazi kaziMkuu umehadimika
Inaitwa fixed combinations 2017 mkuu
Samahani hiyo app inaitwaje wakuu?
Sasa hapo kanji alivyokua firauni ubakuta sydney ana draw albirex niigiata anafunga na surabaya anapigwa pia... yani kanji pasua kichwa kweli mitego yote anategua bila tatizo yy anapita vizuri halafu anakutega ww mamaee lazima unase tu japo kua mitego ni yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .. HAPO SASA NDIPO ANANICHANGANYA MM MPAKA MISHIPA YA KICHWA INANITOKAKama una roho ngumu twemde hiv
Sydney fc win
Albirex niigata win
Indonesia league...surabaya win