ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,471
hapa ndipo watanzania wengi tunakoseaga...hatustick kwenye plans zetuKanikumbusha option zangu zenye odd ya 1.50 hadi 1.80
naomba nijue jina la hii app
Soccervistanaomba nijue jina la hii app
naomba nijue jina la hii app
Ngoja na mie nifanye research kwenye KIKAPU nihamie hukoKwenye basket game 1 tu ushapata hela ya chumba kwa mwezi 1.. Me nasoma nimetafuta ada nimepata huyooooo na sasa hivi nataka ninunue piki piki tu hapa ya kufanyia harakati....
Uwe una withdraw Asubuhi au Mchana Mkuu,usiku uwa wanazinguaJamani kwani Working hours kwa PREMIER BET ni zipi? maana nimewithdraw jana saa 4 usiku mpaka saizi kimya tu.
Hapo itabidi ubet in shop unapata code namba kesho utaenda kibandani unawapa code unaulipia unachukua mkeka wakoNataka kuweka long list premierbet kwa kutumia simu ila mkeka nataka niulipie kesho naweza vipi kuhifadhi huo mkeka hadi kesho bila kupotea?
Msaada wadau
kabisa mkuuyale matokeo ya jana ya europa yamepikwa sio bure