Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

naombeni msaada nini nifanye maana nilideposit pesa supabet kupitia mpesa nakumbe hawatumii mpesa kuwithdraw sasa nashindwa chakufanya nawanasema mpaka niende kwenye shop yao namimi nipo arusha sidhani kama wana shop uku
Wanatumia hata m-pesa mkuu
 
Mi huwa sielewi, Hivi kwanini mnakomaa kujiunga hizo kampuni ndogo ndogo ambazo kila siku mnakuja kulalamika humu kua zina matatizo. Kama hapo mwenzio analalamika wewe unaomba ujiunge nayo!!Duh mbona kampuni kubwa na kongwe ni nyingi tu
nilijiunga nayo long sana ila sikuwai kuitumia sasa nilivyoona wameleta mpesa nikaamua kudeposit sasa kumbe nimajanga kwenye kuwithdraw napia sio kwamba hii kampuni ni ndogo bali ni kwamba hawapo serious kwa apa bongo maana wame base sana southafrica na ghana
 
Basi sawa kila la kheri, komaa nao jaribu kuwapigia wakupe solution..ama ngojea atokee mdau anayewajua akusaidie
 
Naomba link ya kujirejista superbet au app yake m naona n nzr
 
Hivi hizi kampuni hawawezi kutemper na option tunazochagua kweli...maana nakumbuka game ya france u21 niliwapa 2+ ft naangalia sasa hivi naona nilichagua 2+ ht nimeshangaa kwa kweli ingawa tayari Netherland alishasepa na kijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…