lord jozee
Senior Member
- Sep 14, 2017
- 138
- 73
Princess ipo Shekhe wanguIpo kampun gani nimeitafuta prencess haipo
niliweka na umesha tafunwa na mbuzi wa kafara. ila kuna mwingine sikushea humu bado timu mbili(ambao nilitoa idea ya kutafuta timu tano zitoke droo first half kwa U21 qualification)
sikuweka mkeka wa futbol niliweka Idea ya kutafuta timu tano zenye kutoa droo kipindi cha kwanza. hasa hizo mechi za under21Labda sikuuona mkuu..
Nigeria anamaliza kazi uliyompa...bado hao wenginegame za leo vipi wadau
me nnampa ushindi England X Brazil, Germany X France nimempa France, Nigeria X Argentina nimempa Nigeria... Nimetia 5,000... imekuja 352,000 kwny (sportpesa)
Unasema Nigeria hufanyi ninisikukati moyo lakini kwa timu ulizochagua zikitiki nakutumia 50,000
england hata wacheze na san marino wanaishia droo, na uyo nigeria sijuuuui
BET LOSEODDS 5.16
Vejle BK - HB Koge
Both Teams To
Score
Yes
2.01
Wales -
Romania
Under 3.5
goals
1.30
Potters Bar Town
FC - Hereford FC
Under 4.5
goals
1.22
India -
Myanmar
India
1.62
Duuu mkeka chaliiiii aiseeee mhindi kweli hujalibiwiKwa hisani ya BLADSOME
Mi nimetembea kwa mtindo huu kwenye Basketball
won! won! won! won! won!tutafute timu tano zitakazo toa droo first half
za under21 qualification
Hii ni under 1.5 1st halfBrazili inashinda
1.37
Germany vs england,1.5 under 1
1. 77 Weka pesa upate hela