Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimewasumbua sana hadi nimechoka
 
Kama umeacha uku umeingia kutafuta nn mkuu?
 

GSB nimewachoka kila siku eti oooh Dear pesa yako itarudi soon, eti mwezi wa pili saivi wanasema SOON SOON SOON, nikawaswalika SOON mnajua maana yake, Waka-left chat..balaa
 
weka mzigo wa kutosha sasa hivi kisha lala asubuhi unaamka na kicheko.
 
View attachment 631874
GSB nimewachoka kila siku eti oooh Dear pesa yako itarudi soon, eti mwezi wa pili saivi wanasema SOON SOON SOON, nikawaswalika SOON mnajua maana yake, Waka-left chat..balaa
Walivyokuwa waduanzi wanakuita Dear pambaafu Dear mbele ya pesa waambie wakurudishie pesa yako mkuu wasilete udear hapa kanji hana issue za Dear
 
Sawa mkuu itakuwa safi sana kama tukipata watu wa aina tatu Hockey, Football na Basketball hakika kam tutakuwa makini najua kuna mtu hii wiki atakufa.
Hockey,Football itapendeza zaidi
mimi nitaleta zangu kesho jioni
 
odds 20

Tampa Bay Lightning - Dallas
Stars
Tampa Bay
Lightning
2.00

San Jose Sharks - Florida
Panthers
San Jose Sharks
2.00

Winnipeg Jets - Philadelphia
Flyers
Winnipeg Jets
2.29

Phoenix Suns - Houston
Rockets
Over 222.5 points
1.50

Boston Celtics - Golden State
Warriors
Over 210.5 points
1.47
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…