Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaa leo Toronto umekuwa kibarak wa khanji hahaha but deal done kwa wengine
 
Hahaha pole sana mkuu ila ndo hvyo unavyopanga vile mla pilipili kumb anakunyapiapia tu nae
 
Acha Ujinga
 
Bet lose
 
My inner instincts ziliniambia kabisa Celtics anashinda lakini ndio vile tena
Wewe acha tu mkuu nilipanga nimpe Boston na Tampabay ilikuwa ni odds 7 ili niweke 20k nipate 140k lakini huyu mla pilipili sijui huwa anatupumbaza kwa madawa gani nikaamua nitafute odds 20 niweke 5k NIMETANDIKWA huyu mtu kanishinda.
 
Mkuu hujiamni ndio maana siku zote wazo la kwanza ndio linakuwaga bora ukibadili tu unaliwa ubaya wa leo sikuwa na hela yaani mhindi angelia
 
Mkuu hujiamni ndio maana siku zote wazo la kwanza ndio linakuwaga bora ukibadili tu unaliwa ubaya wa leo sikuwa na hela yaani mhindi angelia
Namngoja kesho tena, nitabeti kwa umakini mkubwa sana.
 
Kaangalie matokeo huko mhindi ana bahati sana wiki iliyopita nilitengeza 300k kwa 46k wiki hii majukumu kidogo na pesa nilishatoa
 
Attachments

  • Screenshot_2017-11-17-07-30-23.png
    13.3 KB · Views: 55
  • Screenshot_2017-11-17-07-29-42.png
    13.5 KB · Views: 57
Game ya boston ilikuwa wazi kabisa wakuu yaani ndio ilkuwa game ya kumliza mhindi game ya under na boston ashinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…