Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Uki cashout unapata ngapi hapo?Ushauri.. ni cashout au niendelee kusubiria....game zilibaki naona kama zitatoa....
View attachment 643329
Mkeka huu...stake 5000 inaleta 500K
View attachment 643333
Raha ya hawa jamaa pesa hata saa sita usiku unavuta mpunga, tatizo lao wana options chache ambazo ni ngumu.
Inategemea, inapanda na saa nyingine inashukaaa...inategemea na matokeo ya mechi yanavykwenda sasa hivi imefika 70KUki cashout unapata ngapi hapo?
FC Copenhagen dhaa *****
1st half umelimwa 2
Kilicho back nikojoe tu nkalale
vuta subira mkuu unaweza mpiga kanjiInategemea, inapanda na saa nyingine inashukaaa...inategemea na matokeo ya mechi yanavykwenda sasa hivi imefika 70K
Kabsa mkuu Ila ngewekeHahahah ... leo ilikuwa siku ya 2+ ama 3+ kwa kweli, japo chache km Valencia zimezingua hata 2+
Kuna kitimu kinaitwa Bari kipo Serie B Italy...kisipotoa GG basi ujue ni over...ukikatuma kanafanya kweli
Aisee[emoji31]Sh 43.00 Mkuu sio elfu
Katika mkeka wangu wa odds 109 bado timu tatu premier wangekuwa na option ya kuturbo ningeshatoa changu zamani maana inawezekana mchawi akapatikana kati ya hawaHiyo ligi kuna mwingine anitwa Perugia ... safi sn, yani 2+ ni ya kufikia tu.
Nyng sana hyo mkuu kulko ungepoteza yote kabisa 43> 0 [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124]Nime cash out nikaambulia sh 43 tu wakati katk mkeka team 5 zilishakua WON
sio 43k ni sh 43.00Nyng sana hyo mkuu kulko ungepoteza yote kabisa 43> 0 [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124]
Katika mkeka wangu wa odds 109 bado timu tatu premier wangekuwa na option ya kuturbo ningeshatoa changu zamani maana inawezekana mchawi akapatikana kati ya hawa
Wewe acha tu, nipo nawaza ningetafuta odds 30 kutoka humu nikaweka 10kSure mkuu naona, ila Alessandria alifanya kazi ya ziada kuuweka hai huu mkeka maana alilambwa red card mapema kbs. I pray utoboe mkuu ...
Mimi nasikitika kushindwa kuuweka huu mkeka maana mtandao ulikuwa down. Yani nimetoka kukuquote tu hapa nkaingia Princessbet niutupie mtandao ukaanza kuzingua ... kuchagua timu moja kwenda nyingine ilikuwa ni shughuli, nika give up.
let's wait and seeSasa naye sport recife atapigana kufa kupona ili ashinde hiyo game ili asishuke daraja.