UMEPOTEA NJIAWale wa telegram join kwenye hii Channel Wadau wanatoaga tips za ukweli kichiz..
Jana wamempiga kanji vbaya mno MAXBET TIPS
bado mechi hii
Wakuu leo nataka kuona Bahati yangu iko wapi!
Nina Shida sana na 50000 kwa ajili ya nauli kuna majanga yamenisibu sana na Ndani nina 5000 nakubali hii pesa niitume baadaye kutafuta Odds 9 au 10 ili nipate Nauli.
Naamini nitafanikisha hili (Tuko Pamoja) nikimaliza uchambuzi nitaleta hapa mkeka wangu.
"Hard Way the Only Way"
72 GOALRayo Vallecano W 3 - 2 Valencia W ni kweli but ngoja tuoneHii mechi ilifaa sana BTTS au over 1.5 ila kama kuwin yaweza kuchana mkeka
yani huo mkeka wote wametoa 3+Hii mechi ilifaa sana BTTS au over 1.5 ila kama kuwin yaweza kuchana mkeka
pole sana chief
Kipindi Cha Kwanza lipatikane goal moja,Cha pili mawiliDouble Goals hii ni option hipi Wakuu?
naona kama ni ngumu sanaKipindi Cha Kwanza lipatikane goal moja,Cha pili mawili