watu wamesha itumia mbonaHawa play master wameweka bonus ya 5000,,,mbona kama picha..aliyeweza kuitumia tafadhali
Sijui kwanini atiTimu zinakuwa nyingi hadi wote unawaona wachawi.
mkuu hata double chance hazionekani?Sijui kwanini ati
Stake ikiwa kubwa na timu zote unaona zitakuwa wachawi.Sijui kwanini ati
Siwezi na sijawahi weka double chancemkuu hata double chance hazionekani?
Aiseeenipe elf 20 tu leo nitengeze laki😀😀😀😀😀
Ndio hapo sasaStake ikiwa kubwa na timu zote unaona zitakuwa wachawi.
Shukrani kijanaaawatu wamesha itumia mbona
iko upande wa kulia baada ya kuweka mkeka wako ch kufanya unaibonyeza yenyewe ndipo unaandika take yako
imekubali?Shukrani kijanaaa
Az AlkmaarLeo Nina hela ila Sina timu.
Nitaokoteza hapa hapa
Nina 500,000
Za mkekabet.
Pound 10 za William Hill
50000 za premierbet
Nina bonus ya pmbet
Tatizo timu
Yeeer imekubaliimekubali?
Bet kuanzia tm mbili jarbu kuweka normal moja hafu kuna sehemu imeandka unit Press kbatan to unit then placebetHawa play master wameweka bonus ya 5000,,,mbona kama picha..aliyeweza kuitumia tafadhali
odd 17+ won
odd 17+ won
Mkuu sehemu nilipo kwa leo network ni shida...ni mwendo wa edge...nitajaribu kuandaa nikifanikiwa nitakutag.Mkuu joaquem kokoro lipo leo??
Hizi option zipo bet365 kazisome utazielewa....Naona pm kuna under1.5 hafu tena kuna under 2 hapa under ya 2 ndo cjaelewa mwnye kujua plz
Hivi iyo bonasi unaitumiaje?maana nimepewa kila nikibet inakataa inasema sina kitu. Au ndio mpaka ni deposit pesa yangu kwanza?ama unaitumia kwa mkeka mmoja yote?Maana inabidi nitoe pesa zangu premier na kuweka kwaoalinipa 5000 nikashindwa kuitumia vyema