Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi iyo bonasi unaitumiaje?maana nimepewa kila nikibet inakataa inasema sina kitu. Au ndio mpaka ni deposit pesa yangu kwanza?ama unaitumia kwa mkeka mmoja yote?Maana inabidi nitoe pesa zangu premier na kuweka kwao
Bet kuanzia tm mbili jarbu kuweka normal moja hafu kuna sehemu imeandka unit Press kbatan to unit then placebet
 
Leo Nina hela ila Sina timu.
Nitaokoteza hapa hapa
Nina 500,000
Za mkekabet.
Pound 10 za William Hill
50000 za premierbet
Nina bonus ya pmbet

Tatizo timu
Aisee! Sasa ndugu yangu mimi timu ninazo, cha kufanya nitupie iyo 500k niitupe yote afu nikurudishie 1m, Afu kesho nikachukue na ndinga kabsa. Fanya ivyo mwanakwetu.
 
Leo Nina hela ila Sina timu.
Nitaokoteza hapa hapa
Nina 500,000
Za mkekabet.
Pound 10 za William Hill
50000 za premierbet
Nina bonus ya pmbet

Tatizo timu
Jaribu kuokota team 3 tu ktk Bundesliga na Championship, League 1, League 2 kwa option ya Over 1.5 huwezi kukosa ...utakuza mtaji mkuu
 
Leo Nina hela ila Sina timu.
Nitaokoteza hapa hapa
Nina 500,000
Za mkekabet.
Pound 10 za William Hill
50000 za premierbet
Nina bonus ya pmbet

Tatizo timu

Nitumie mimi 10k nkupe mkeka wa timu 5 tu utakao kupa 100k kwa elf kumi
 
AS Cittadella - AS Avellino
1/2
1.23

Etsv Weiche Flensburg -
Luneburger SK
1/2
1.23

Combination Odds 1.5
 
Botev Plovdiv - Etar 1924 Veliko Tarnovo
PFK Botev Plovdiv
1.31

SK Sturm Graz - SKN St. Polten
SK Sturm Graz
1.33

Odds 1.74
 
Wakuu naomba msaada kujua ghalama za mshine ya kubetia na zinauzwa wap na wanalipaje kwa mbetishaji nashida nayo sana msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…