Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaa humu tunalia wengi leo eee Mungu okoa jahaz kwa wale ambao mikeka yao inapumua pia tupe ujasiri wakuamini ipo siku tutavuta sharubu za mhindi kwa sisi tuliochaniwa mikeka mapema Aaaamen hakuna namna team NO RETREAT NO SURRENDER
 
Tofauti katika malipo ya premier bet na play master ni katika kodi.
Angalia zote odds sawa ila possible win ni tofauti
Premier siwakubali katika kuwithdraw
Hawa play master nawakubalinkwa options.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…