Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watoto wa wenger washaanza yao huko[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wakuu nifanyeje nifute history ya mikeka yangu niliyobet naona kama inanipa hasira kila nikikagua nashikwa na hasira.

Premierbet
 
Uwe unatuletea na hizi chief...zinasaidia kupunguza maumivu
Sawa chief maana siku hizi nashukuru tamaa zinapungua. Nakuwa nafukuzia odd 2 hadi tatu. Mathalani hzo hapo juu ni 3.5 kwa 10k unakuwa na 35k ambayo unaweza kulipia kifurushi cha DSTV BOMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…