Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mambo ya huyu ashonde sjui draw sjui kufungwa.....leo nimeweka 3+ mechi mbili tu ya buyern na chelsea......odd zinatosha kbsa hizi staki odd nyingi
 
mambo ya huyu ashonde sjui draw sjui kufungwa.....leo nimeweka 3+ mechi mbili tu ya buyern na chelsea......odd zinatosha kbsa hizi staki odd nyingi

Game ya chelsea ni under 2.5
Nimeangalia statistics za head to head
 
jana nashukuru nimeshinda kiasi. LEO NIMEWEKA BARYERN MUNCHEN WIN
BRISTOL CITY WIN HAPO VIPI WAKUU
 
Wapili ni huu hapa sheffield win
reading win
blackburn win mie siku hizi ni timu mbili au tatu tu ndo napata hela chance ya kuwin inakuwa kubwa.
 
First half droo.Psgvs chelse na shaktr vs byn odd 4.5 x 150,000 Kesho anamka na 700000 zako kasoro
 
Deo Corleone;

Mkuu umesahau wakati mwingne hizi tim kubwa zinavurunda na kupigwa au kudroo na vitim vidogo, vipi kama ndo umetupia kalaki au kamilioni kako ka mkopo hapo, weeee masikini mie nitajibebea mbeleko ipi pindi ikitokea ya Bristol City kumpiga Chelsea, balaaa!!
 
Last edited by a moderator:

Yan hlo ndio balaa zaid hii n kamal tu huyo tajr anaweza kuweka timu 1 kwa milion na akaliwa na we mwenye timu10 mkeka m1 ukatusua fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…