Mwenye matokeo ya mechi ya hawa madogo wa under 20 naomba tafadhali
Na je,naweza nikaturbo kama mechi itakuwa imehairishwa?
Ngoja niskilizie gemu ya mwisho iishe,nijaribu kuturbo,maana nahisi gemu ya hawa under 20 haijachezwa..Matokeo sina, lkn kuhusu swali la pili jibu ni NDIO.
As long as timu zaidi ya 3 zimeshakupa win kwenye mkeka (km navyoona hapo kwny mkeka wako) na hakuna game inayocheza muda huo, then unaweza ukaTURBO payout.
Mkuu huo Uzi umetulia.*THURSDAY VIBES*
66SKCRY
2 odd
Code 8509 Date 14/12/2017 21:00
Event Lazio - Cittadella
Live/Prematch Normale Selection 1 & Over
Code 7975 Date 14/12/2017 20:45
Event Ajax Amsterdam - SBV Excelsior
Live/Prematch Normale Selection 1 & Over
Code 1096 Date 14/12/2017 21:15
Event FC Porto - Vitoria Guimaraes
Live/Prematch Normale Selection 1 & Over
[HASHTAG]#Believe[/HASHTAG]
OK mkuu nimeuchukua kama ulivyo na kuutilia 15KWA WALE WAPENZI WA KUWABET KWA WAZEE WA JIHADI.
MKEKA WA PESA HUO HAPO CHINI
Odd 2.67
Stake: Tsh 20,000
Marejesho: Tsh 53,400
Niko kikazi zaidi, kesho nna shida na hela ya Bia.
Nna ugeni wa mkwe wangu.
***fuata nyuki, ule asali**
View attachment 650883
PALE KUNA MCHEZO MCHAFU HUWA UNAFANYIKA NA WAHINDI.Mkuu Virtual Games iliwahi kunishangaza sitajaribu tena huko ... labda kuna wengine wana bahati nayo. Ila mm siwezi kugusa tena huko ...
... si unaona km hapa, unaweza kuhisi ukiweka 2+ ni automatic unashinda, unashangaa 1-0 au 0-0 ... halafu uliweka 100K
View attachment 651006
poa sijawahi but nilikuwa naona tu hata sielewVirtual games ni kama mashine ya kuchezesha korokoro.
Timu zote mbili znachezeshwa mechi na komputa automatatic.
Wee unaebet unakua mtizamaji tu mpk full time.
Afu unacheck kwny mkeka wako km ulichokibet kimeendana na matokeo ya mechi.
Hii kitu ngumu sana aisee, nliicheza sn kipindi cha mwanzo mwanzo ndo naingia kwny betting.
Nlikua nakula za Uso mpk nikastop betting for 1 yr.
Nlpokuja kugundua uhuni unaofanyika, nkapiga chini mazima upande wa virtual.
WAHINDI WAMETAJIRIKA SANA NA HUU UHUNI WANAOUFANYA KWNY VIRTUAL BETTING.
poa sijawahi but nilikuwa naona tu hata sielew
duh basi nahisi aina tofauti na keno bsPALE KUNA MCHEZO MCHAFU HUWA UNAFANYIKA NA WAHINDI.
Hebu ngoja nkufahamishe.
Computer zote znazoshiriki huu mchezo zmeunganishwa kwny master control room moja.
Humo kwny master control room ndiko shughuri ya kufanya set up ya timu, fixturs na kuweka odds hufanyika.
Pia huwa wanaaccess na me hi husika inayoendelea.
Baada ya kudisplay odds, wadau huwa mnaanza kucheza.
Kama ni mara yako ya kwanza, unakaribishwa vizuri.
Yaan wakitaka ushinde, wanaiongezea performance level timu yako dhidi ya mpinzani wako.
Kama utakua unaangalia live, utaona timu ulochagua hata km kwny msimamo ni mbovu itakua ikipiga mpira mwingi sana.
At the end, inashinda na unakula hela.
Kama umewala sana na wanataka ukose.
Basi watatekenya kibatoni cha aggressive defensive kwa timu uliyoipa ushindi.
Utashangaa kuona mabeki wanapiga aggressive takle za hatari.
Mda si mrefu timu yako inakula kadi za kutosha na umeme (red card) na inapigiwa mpira mwingi na penati juu. Inafugwa
Mwisho wa siku unakutana na mwekundu (Bet lost) kwny mkeka wako.
Kumbuka:
hizo performance cheats mwny mashine anaweza kuziseti Bila hata kua ndani ya control room
Hata kwa kutumia smart fone kwa kutupia secrete cheat code kuhusiana na mechi husika na ukaliwa Huku umesimama nae wote unaangalia mechi.
Nimekuelewa sana chief...hongera kwa uchambuzi wako uliotukukaWakuu, don't mess up with this golden odds.
Odd 2.43
Instanbulspor win dhidi ya Karakabur
Bahati haiji mara 2
PALE KUNA MCHEZO MCHAFU HUWA UNAFANYIKA NA WAHINDI.
Hebu ngoja nkufahamishe.
Computer zote znazoshiriki huu mchezo zmeunganishwa kwny master control room moja.
Humo kwny master control room ndiko shughuri ya kufanya set up ya timu, fixturs na kuweka odds hufanyika.
Pia huwa wanaaccess na me hi husika inayoendelea.
Baada ya kudisplay odds, wadau huwa mnaanza kucheza.
Kama ni mara yako ya kwanza, unakaribishwa vizuri.
Yaan wakitaka ushinde, wanaiongezea performance level timu yako dhidi ya mpinzani wako.
Kama utakua unaangalia live, utaona timu ulochagua hata km kwny msimamo ni mbovu itakua ikipiga mpira mwingi sana.
At the end, inashinda na unakula hela.
Kama umewala sana na wanataka ukose.
Basi watatekenya kibatoni cha aggressive defensive kwa timu uliyoipa ushindi.
Utashangaa kuona mabeki wanapiga aggressive takle za hatari.
Mda si mrefu timu yako inakula kadi za kutosha na umeme (red card) na inapigiwa mpira mwingi na penati juu. Inafugwa
Mwisho wa siku unakutana na mwekundu (Bet lost) kwny mkeka wako.
Kumbuka:
hizo performance cheats mwny mashine anaweza kuziseti Bila hata kua ndani ya control room
Hata kwa kutumia smart fone kwa kutupia secrete cheat code kuhusiana na mechi husika na ukaliwa Huku umesimama nae wote unaangalia mechi.
Dah nilipishana nayo hiiNimekuelewa sana chief...hongera kwa uchambuzi wako uliotukuka
Ya kibabe hyo, Hongera sana mkuu