Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sikua hewani hii....dah leo game hamna kabisa
 
Betting ni hatari sana. Yaani kama game ya Westham ingeongezeka kona 1 tu wiki ningezeka nyumba na kuhamia kabisa
Pole sana.

Ila kona huwa zinatoka sana hasa over 8.5

Kona uwe mnambetia Man utd, Huddersfield, Leicester na soton wakiwa either home au away.
Wape over 9.5 full time au over 4.5 first half

Liverpool mpe kona nyingi akiwa Home. Over 8.5 inamfaa sana.

Tottenham mpe kona nyingi akiwa home na anacheza na timu isiyopiga sn possession.
Maana wakikutana na timu inayoposses sana huwa hawatanui na huvizia counter attach kupitia katkat ambapo hupunguza possibility ya kona nyingi. Over 8.5 corners full time

Arsenal, man city, west ham, Liverpool (akiwa away) HAWA hawa hawafai kabisa kubet corner mana wanapenda sana kukaa na mpira na hawatumii winga kushambulia kutokea pembeni.

Note: Timu znazofaa sana kubetia kona ni zile znazotumia mfumo wa 4-4-2 au 4-4-1

Hizi za 4-5-1 au 4-3-3 (possessive) sio nzuri kabisa kwa corners

Labda km ni 4-3-3 offensive anayoitumia sana Liverpool akiwa anacheza anfield.

Angalau ata 4-2-3-1 offensive inafaa kwa kona maana anaitumia sana R. Madrid akiwa Bernabeu.

NNA IMAN KUNA KITU UMEELEWA MKUU
 
VfB Stuttgart II - Hessen Kassel
Over 1.5 goals (HT Results)
2.35
 
Ajax Amsterdam - SBV Excelsior
Over 1.5 goals (HT Results)
1.71

.....................Live together die alone
 
Duh,
Wakuu kuna uzima huko.

Mpk sahv sjaamini haya matokeo kabisa.

Au Labda cm yang itakua mbovu nn?

 
Mcheza mna option nzuri lakini kwa hili la kuwithdraw to take up to 72hrs ndiyo mpunga usome kwenye tigo pesa. Kwaherini
 
Goal difference kuanzia mbili na kuendelea let say 2-0 ,3-1 , 4-2, 5-1, 3-0 etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…