Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Bora wewe kila siku tatu mimi kuna mdada mmoja wakala kanizoea hadi nikifika naweka tu pesa kwenye Meza naondoka, kakariri hadi namba yangu Eeh Mungu nijaalie siku moja nikawithdraw [emoji17] [emoji17] [emoji17] Kila siku Kudeposti hadi wamekariri namba yangu.Nyota zetu naona zinafanana....kila baada ya siku 3 nadeposit chakushangaza sijawahi withdraw hata utaratibu sijui upoje *****
[emoji23] [emoji23] Kanji hata nikitania ananipiga kuna siku moja nimecheza kimatani nikamla laki moja toka siku hiyo kawa siriasi sana na mimi hata nikitania yeye anapiga tu hana cha mswalia mtume.inaonekana unapanic sana. kuna kitu kimoja inatakiwa huu mchezo mda fulani usiwe sirias kupita kiasi. sijui umenisoma hapo?
BADO HAIJAMZAIDIA MUHINDIHalf half zimetoka kona tatu tu
Unatumia kampun gan mkuu
Odd 2 hizi zimesoma 50k imeleta 50k. Ngoja nikalipie DSTV BOMBA halafu inayobaki nikanywe supu
hahaha eti baba mkweWakuu
Nnashida ya muamala wa haja
Nna ugeni kutoka mkoani
Baba mkwe anataka nimpeleke akapaone KEMPISKI.
Cheque za malipo halali ni hizi hapo chini.
View attachment 652367View attachment 652368
Princess betUnatumia kampun gan mkuu
Hiyo company ya princess mbona sizioni hizo option za kona zipo tu zingine za over,under nk unatumia link ganiBADO HAIJAMZAIDIA MUHINDI
Sina hasara so far
Nishakula hela ya maana sana kwny huu mkeka.
View attachment 652458
Poleni sana wakuu.Bora wewe kila siku tatu mimi kuna mdada mmoja wakala kanizoea hadi nikifika naweka tu pesa kwenye Meza naondoka, kakariri hadi namba yangu Eeh Mungu nijaalie siku moja nikawithdraw [emoji17] [emoji17] [emoji17] Kila siku Kudeposti hadi wamekariri namba yangu.
Kuna wakala mmoja pia nimemkimbia kwa aibu kila siku naenda Kudeposti hata 5000 kwa siku dah wote wamekariri namba zangu, siku ikiishasijaenda Kudeposti huwenda sipo eneo lile, Imefikia hatua hadi nakwepa Mawakala nikadepost kwa mawakala Wapya.
Leo nimeenda Mara 2 jana mara 2 nikifika tena jioni hii si atasema namsumbua japo ni Biashara.
Masikini dah.
[emoji23] [emoji23] Kanji hata nikitania ananipiga kuna siku moja nimecheza kimatani nikamla laki moja toka siku hiyo kawa siriasi sana na mimi hata nikitania yeye anapiga tu hana cha mswalia mtume.
Mkuu Shukrani nataka nisake 15000 nikipata nitakukabidhi unipe timu utakazoona zinafaa.Poleni sana wakuu.
Punguzeni tamaa na uoga.
Muhindi ni mwepesi sana kumla hasa kipind hiki cha skukuu.
Tuombe mungu naamini ipo siku yetuBora wewe kila siku tatu mimi kuna mdada mmoja wakala kanizoea hadi nikifika naweka tu pesa kwenye Meza naondoka, kakariri hadi namba yangu Eeh Mungu nijaalie siku moja nikawithdraw [emoji17] [emoji17] [emoji17] Kila siku Kudeposti hadi wamekariri namba yangu.
Kuna wakala mmoja pia nimemkimbia kwa aibu kila siku naenda Kudeposti hata 5000 kwa siku dah wote wamekariri namba zangu, siku ikiishasijaenda Kudeposti huwenda sipo eneo lile, Imefikia hatua hadi nakwepa Mawakala nikadepost kwa mawakala Wapya.
Leo nimeenda Mara 2 jana mara 2 nikifika tena jioni hii si atasema namsumbua japo ni Biashara.
Masikini dah.
Amen Mkuu.Tuombe mungu naamini ipo siku yetu
Oya kubeti kwny phone msaadaNyota zetu naona zinafanana....kila baada ya siku 3 nadeposit chakushangaza sijawahi withdraw hata utaratibu sijui upoje *****
Huu mkeka nilitamani kudesa ila ndo hivo app nazotumia zinazinguaBADO HAIJAMZAIDIA MUHINDI
Sina hasara so far
Mda mfupi tu uliopita
Nishakula hela ya maana sana kwny huu mkeka.
View attachment 652458
Hamna dhambi mbaya sana duniani km kukata tamaa.Shukrani Kaka mkubwa ngoja niendelee kuungua sina namna.
Nimekuwa sasa mpenzi mtazamaji wamekula hadi zile Senti 23.0 zinazokuwa kwenye Account.
[emoji17] [emoji17] [emoji17]Hamna dhambi mbaya sana duniani km kukata tamaa.
Oya kak nielekeze jinsi ya kubet mpesaUdinese tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]